Nina shilingi milioni 64, niwekeze kwenye biashara gani kati ya hizi?

Unachokiongea ni kweli kabisa, ila ukiwa smart unaweza ukapata pesa sana kwenye real estate...Unajenga, au unanunua nyumba unaiboresha, unaichukulia mkopo, unaifanyia biashara, alaf unachukulia mkopo mwingine mkubwa zaid kwa kua umeongeza value, then unadevelop property nyingine...hiyo siri wanajua wachache sana na kutengeneza faida wanajua wachache
 
Hongera sana.
Kwa maelezo yako inaonekana hauna uzoefu na biashara na unaweza poteza hiyo pesa. Jaribu kufanya hiki
 

Attachments


Mwongozo kidogo kwenye hili mkuu .
 
Fungua social media accounts za gossips na kuchafua watu

Ni rahisi sana

ILA morally ni wrong
 
Hii wazungu na wahindi wanazifanya sana nje boss
Tena wengine wanavizia nyumba za minada
Kwa nyumbani ni vizuri kutafuta nyumba za concrete block ya bei nzuri halafu unatafuta fundi mzuri hata rafiki unaibadili na kuweka kila kitu, unaipiga bei
Mwisho unakuwa kwenye ladder in Real estate
 
Kuna mtu anakodisha lodge yake 1,000,000/= kwa mwezi, Ina vyumba 6 kila chumba ni 10,000 kwa short time.
Roughly chumba kimoja unaweza kukiuza mara tatu Kwa siku
10000X3=30,000 hii ni bei ya chumba kimoja
Ukichukua vyumba 6X30,000= 180,000/=
Kila siku utapata zaidi ya 180,000X siku 30
Utapata 5,400,000/= haya ni mapato ya kawaida Kwa mwezi mmoja.
Ukitoa ile Kodi million moja na gharama nyengine hukosi 3 million profit
 
Location ni wapi?
 
Nunua tractor ukalimie watu mashamba utakuja kunishukuru baadae
 
Biashara za kwenye karatasi ni rahisi sana.
 
Biashara ya mazao...NunuaJenga kipindi wanavuna mfano mahindi,Michele,Karanga nk.Hifadhi kisha uza Kwa bei inapopanda.Nunua mazao ya 20m tu utapata hadi 60 baada ya miezi 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…