Nina soko Uingereza la maharage haya natafuta patner mwenye mtaji

Mimi natafuta sana taarifa.

Tangu 2019 nina mwaliko kuhamia Norway, nawaza na kuwazua. Nimeshaitwa hadi basi. Woga wa kuanza upya. Nawaza what if nikichemsha narudije Bongo?😂
babu M ! Alianzia hapa...sasa angalia na ww ulichoandika...na angalua convo zetu mimi na yeye na ulichoreply
 
Kuna maharage ya nyama au kispanyola sijakimaster vizuri?
 
Nadhan linaitwa jicho la mke mwenza
Hiyo kali madaba hayo meupe na mabaka meusi yanaitwa maharage ya mzungu, silver land wanatoa mbegu halafu wananunua kilo 1 sh 4500 kwa mkulima (bei ya 2019).
Maharage haya yana kazi nyingi sana viwandani tofauti na wengi wamekariri kupika tu . Food industry yanatumika kutengeneza biscuits, bites, bakery, milk, unga lishe etc kuna mzungu Kilimanjaro ni specialist wa kuzalisha aina za maharage ya kipee duniani huwa anayapeleka France baadhi yanatumika kutibu mbwa
 
Hahaha kumbe thread imegeuka utapeli tena?? Dah😀😀
- Huyu(Chimulenge) alianzisha huu uzi ameshindwa hata kusema jina la hizo beans!

-Wazungu awasemi beans peke yake kwa sababu kuna aina zaidi ya 400. Bali atakwambia kama anataka kidney beans, pinto beans, cranberry beans nk

- Hizi beans kwenye picha haziliwi na wazungu wa uingereza!

-Na zimejaa kwenye maduka ya wahindi kwa ajili ya wahamiaji!
 
ndege JOHN Mtafuta soko ni mbambaishaji, Anatafuta mbia mwenye mtaji kivipi ! Kama mzungu anataka bidhaa na bidha ipo c aje na hela achukue mzigo !
Huyu ni mbabaishaji tena mvivu wa google ili haweze kuwadanganya watu vizuri.
Ni sawa mtu anasema anatafuta gari la kununua. Watu wanamuuliza gari aina gani. Anasema hiyo kwenye picha, inaonekana hata aina ya gari haujui!
Tuwe wa kweli, huyu mtu yupo tayari ku spend mamilioni hajui hata jina la beans wanazotaka hao wazungu!!

Huyu ukimwambia nina mazigo utaona stori itakavyokuwa ndefu. Na kama mwisho wa siku sio wewe kuombwa pesa hataingia mitini!!
 


Duh..hata mimi sikuwah jua wanatumia had kwa biscuits tumekalia fursa aise had wazungu wanakuja kuyalima🤭
 
Kulima maharage si sawa na kufuga sungura.Watanzania wangapi wanakula sungura. Maharage yanaliwa na watu wengi sio sawa na sungura.
 
😹
 
Mimi kuna jamaa yangu anaishi Johernesburg anahitaji maharage meupe, Kama kuna mtu humu anajua wapi tunaweza kuyapata kwa wingi anijulishe.
Kuna sehem nimeyaona bt sijajua unahitaji kiasi gan na utanunua kwa sh ngapi
 
hahahahaa pitishia na chapati mkuu
 
Biashara kama hizi zinahitaji mikataba ili ikitokea mmoja kaingia mitini basi inabidia alipe fidia
 
Kwenye ku export mzigo sisi tuna vipengele vingi na kila kimoja kinataka uwe na pesa hapo kwa papo.

Mfano mlipotaka kupeleka mchicha kama mteja wenu alitaka ajue ubora wa mchicha mngetafuta Quality Certificate, weight certificate, mngelipa kilimo,Kodi, gharama za packing na stuffing za mchicha na pesa ya kumlipa clearing and Fowarding agent atakaye peleka kontena bandari na kuwafanyia booking ya meli na kusafirisha mpaka UK.
 
Yote hayo tulielezwa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…