Nina tatizo kubwa la upungufu wa nguvu za kiume

Hapo kwenye "nimeachwa na wanawake wengi" ndipo kuna tatizo.
Suluhisho
acha kuishi kama beberu au kijogoo, au dume la nguruwe wewe ni binadamu uliyeumbiwa mke mmoja na kufanya kazi kwa weledi.
Naamini hao waliokuacha siyo wake(wives) ni wanawake(women)
AMINI NAKUAMBIA
ukitulia na mke mmoja kama umeoa au ukaachana na maswala ya wanawake kabisa kama hujaoa ukaamua kuokoka na kutumia tiba za hospitali dhidi ya magonjwa kadha (kama ndo tatizo) utabaki salama sana kuliko kujaribu kuwaiga mbwa ukijaribu aina tofauti za wanawake.

Takeaway2
95% ya wanalia NGUVU za kiume huwa ni wanunuaji wa Malaya na waliooa kwa kudhani ndoa ni kufanya mapenzi kwa ujumla wake nk
 

Bro mpaka naandika Uzi humu ujue tatizo langu ni kubwa sanaa Yani nimechanganyikiwa sielewi mpaka Kuna kipindi nilitaka kujitoa uhai, Kuna jamaa yangu anajua tatizo uwa ananionea huruma sana
 
niambie uko tayar kusafir umbali kias gan kufata dawa nikupe maelekezo;achana na hizi za mjini, NOTE; I'm serious nataka nikusaidie mwanetu ukae kitaalam tusije kukukuta umejipunguza dunian
 
Pole sana
Nitafute PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…