Tumia dawa zote unazojua ila akili yako ikishaamini una tatizo huwezi kulitibu unless umedeal na iyo imani uliyojiwekea ,huwezi kunielewa ila angalia imani ya uyo jamaa iko wapi na akili yake inaamini ana tatizo cha kwanza huyo jamaa wee muulize akiwa na mwanamke kabla hawajaanza huwa anajiuliza nini ?Hapana kaka ana tatizo tusiwe tunapeana moyo fikra fikra fikra hapana nakataa mambo ya fikra yanahisiana nini na huko chini? Kwa hiyo wenye kusukuma kiuno vizuri wote wako sawa kifikra?
Hahahaaaa dawa ya ujana ya wale wahindi niliona ofisi Yao Arusha ukitokea jaws corner stand kubwa hahahah hivi Huwa inafanya KAZI broNunua dawa ya Ujana ya wale wahindi utanishukuru baadae
Ni kweli kabisa Imani mbaya sana huyu anatakiwa atibiwe kiimani na kimwiliTumia dawa zote unazojua ila akili yako ikishaamini una tatizo huwezi kulitibu unless umedeal na iyo imani uliyojiwekea ,huwezi kunielewa ila angalia imani ya uyo jamaa iko wapi na akili yake inaamini ana tatizo cha kwanza huyo jamaa wee muulize akiwa na mwanamke kabla hawajaanza huwa anajiuliza nini ?
Lakini swali ni kuhusu kama siku hiyo jogoo atasimama?
Mbona masai hua hawafanyi hayo mazoezi ya pelvic na wanapiga show sana tu, nenda vijijini huko hakuna hayo mazoezi kuchoshana tuAu videmu vyako vinajilizaliza ukichomeka?😀
Demu akiwa kimya katulia kama yupo salon hata saa nzima hakuna wazungu.😀
BTW:Mazoezi ya pelvic floor ni mwisho wa mambo yote,kwanza machine ikisimama unatundikia hata helmet ya pikipiki.
Ni zaidi ya mlo kamili japo vikienda sambamba itapendeza.
Ni kweli kabisa Imani mbaya sana huyu anatakiwa atibiwe kiimani na kimwili
Huoni kama huyu tayari ana tatizo na anahitaji tiba?Mbona masai hua hawafanyi hayo mazoezi ya pelvic na wanapiga show sana tu, nenda vijijini huko hakuna hayo mazoezi kuchoshana tu
Harafu kadri unavyokuwa na mawazo ndio unazidi kuharibuShida yako kibwa iko kwenye fikra ulizojenga kwenye akili yako ,umeshaiambia akili unashida na imejenga hiyo hisia pambana na psychology ya akili uliyojijengea kwanza jiamini mkuu.... msaada wa kwanza ni wewe
Nikuaminije kama huna shida hiyo au mnataka kumpiga helaHuoni kama huyu tayari ana tatizo na anahitaji tiba?
Nini kijijini,watu tupo mjini na wala siyo wamasai na hatuna shida.
Hii unaweza kuletewa baada yakuhangaika na mzigo ukagomaHarafu kadri unavyokuwa na mawazo ndio unazidi kuharibu
Njoo uikalieNikuaminije kama huna shida hiyo au mnataka kumpiga hela
🤣🤣 Una tatizo la afya ya akili mkuu, kwa herii bye,Njoo uikalie
Nichek inboxHabari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita.
Nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.
Kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.