Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Mkuu una taaluma ? Professor janabi kazuia kunywa juice mara kwa mara akidai ni hatari we unamshauri anywe juice ?njugu(mbichi)+ndizi+tende+korosho+maziwa fresh+ tangawizi+swaumu=JUICE
Kunywa Kila siku
Achana na Viagra na mkongo
Profesa majajala yuleMkuu una taaluma ? Professor janabi kazuia kunywa juice mara kwa mara akidai ni hatari we unamshauri anywe juice ?
Hiyo juice inaitwa nuclear powerMkuu una taaluma ? Professor janabi kazuia kunywa juice mara kwa mara akidai ni hatari we unamshauri anywe juice ?
Kaka mi shimo fender ya polisi ikitua hapo kwako usinihusisheProfesa majajala yule
Kumbe we ni muuza dawa🤔 mteja anatafutiwa target, nimekustukiaHiyo juice inaitwa nuclear power
Nilishwahi kumfanyia jamaa wa kiganda, siku ya pili alirudi anacheka tu
Siuzi...ndo maana nimemwambia kwenye komentKumbe we ni muuza dawa🤔 mteja anatafutiwa target, nimekustukia
Nikupe dawa au?Fala ww, mm sina matatizo, nipo vzr ka huamini nipe then ulete ushuhuda 😎
Dawa za nn wakat nipo vzr, nipe kikojoleo 😎Nikupe dawa au?
Unawasikiliza wahuni wale aisee mtu kakomaa kama anakula mawe anashauri watu wasile kabisa kwa sababu yeye anashinda kwenye kiyoyozi na Land Cruiser.Mkuu una taaluma ? Professor janabi kazuia kunywa juice mara kwa mara akidai ni hatari we unamshauri anywe juice ?
Mimi sina hicho kifaa😅Dawa za nn wakat nipo vzr, nipe kikojoleo 😎
Pamejiziba au sioMimi sina hicho kifaa😅
Yes☺️Pamejiziba au sio
Hapo tatizo lako sio nguvu za kiume. Kuna tatizo ambalo ndo linapelekea hiyo. Kama hauna maradhi mengine yanayowezapelekea hilo, basi ni ishu za kisaikolojia tu.Habari wote, mimi ni kijana nasumbukiwa na upungufu wa nguvu za kiume tena sana mpaka nakata tamaa ya maisha, nikiwa na mwanamke bao la kwanza namwaga ndani ya dakika moja na baada ya hapo sipati tena hamu mpaka baada ya masaa kama sita.
Nimeenda hospitalini ni kaonekana na kiwango Cha 0.69 Cha testerone ajabu nikaambiwa niwe nakula vizuri ila ukweli nakula vizuri tu, nilienda mpaka kwa waganga wa kienyeji ila sijaona mabadiliko.
Kuna kipindi nikiwa na mwanamke sipati kabisa hisia na nimeachwa na wanawake wengi.
Naombeni msaada.
Bro demu amenitukana sana
Na KAZI zetu hizi za zege usile kushiba si unatafuta kuzimia 🤣🤣🤣, atoke ushauri kutokana na aina za KAZI we mbeba zege unamwambia ale chakula SAA SITA mpaka kesho tena si kuuana hukoUnawasikiliza wahuni wale aisee mtu kakomaa kama anakula mawe anashauri watu wasile kabisa kwa sababu yeye anashinda kwenye kiyoyozi na Land Cruiser.
Jenga tabia ya kula vyakula vya asili ZINGATIA HII 📌Nimekuja humu naamini nitapata ushauri na tiba
Sasa unaomba tunda bado tena unatukana mkuu? Omba kwa unyenyekevuFala ww, mm sina matatizo, nipo vzr ka huamini nipe then ulete ushuhuda 😎