steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
Bro hiyo inatoke but siyo kwa masaa mawili huyo kazusha but kwa dakik 45-50 inatokeaMkuu masaa mawili bila wazungu kutoka halafu hajatumia madawa yeyote si kweli,halafu kashasema yeye ni mdau wa pull....sasa na pull alikuwa napiga masaa mawili? Humu kuna watu wana akili zao na wanajua mengi,ukiandika mada mtu anajua tu hapa anauza chai kwa ajili ya kujifurahisha au anauliza swali kinyume nyume,kwasisi tuliosoma saikoloji jamaa ameona kiuliza kwamba yeye ni TAKO tatu atachekwa bora aulize kinyume nyume swali lake.