Nina tatizo la kuchelewa kufika kileleni

Nina tatizo la kuchelewa kufika kileleni

Tatizo madogo wengi mnapenda kuishi mbele ya wakati vimbwengo vya clutch ndio hvyo 😂😂😂

Fanya baada ya miezi 2 unaweza kufanikiwa kwny pich
 
Nimetoa mfano.Ila Delayed Ejaculation ni ugonjwa kama ulivyo premature ejaculation tu.Sababu zipo nyingi puchu, mawazo,pombe,upungufu wa homoni testosterone, kukosa hisia na mtu,kutotarajia unachokiona mf. Bwawa, harufu mbovu, maneno ya kukatisha tamaa.n.k
Kipi kifanyike ili homoni itende vzr?
 
Kipi kifanyike ili homoni itende vzr?
Kwanza nenda hospitali kaonane na daktari.

Home remedies;
*Fanya mazoezi utabusti homoni ya testosterone
*Kula vyakula vya aina ya karanga(korosho,karanga n.k)
*kula vyakula kama samaki
*Protini kwa wingi
*Pumzika vya kutosha
*Punguza sukali na mafuta

Acha kuangalia porn na puchu
 
Mkuu mwakavuta korodani zako zipoje hasa yaani ndogo sana au kubwa sana au zipo wastani.
Hebu jifanyie ukaguzi kwa kujipapasa pumbu zako usikute hauna kokwa hata moja halafu wewe kwa upumbavu wako unakazi ya kujimwambafai tu.
 
Kwanza nenda hospitali kaonane na daktari.

Home remedies;
*Fanya mazoezi utabusti homoni ya testosterone...
Asante sana mkuu selfie nimeacha nitadeal na vyakula maana kiukweli mm sio mlaji sana tangu huu mwaka nimekua na stress kupita Maelezo. Muda wangu wa kupumzika ni chini ya masaa Sita kwa siku na Kazi ngumu.
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom