Hapo inabidi udhamini maduara na uwakope wenye makarasha, kupata 56g per week inabidi uwe taita, alafu mpuuze huyo maana hakuna mahali utauziwa dhahabu ukapate faida ya 57k kwa Kila gramGram 56 per week siyo kitoto mkuu kwa mfumo huo?......Afu hiyo bei ya mwaka gani au Mgodi gani 90k@1gram
Mimi ningekua wewe hiyo 150K ningedeposit kwa broker nitrade forex leo kuna news kubwa sana ya GBP Interest Rate Decision hiyo 3M unayotafuta naipata leo saa 8.Wakuu habari zenu ni matumain yangu mko salama salmini
Sasa wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo nashida ya pesa kama 3million na natakiwa kuipata ndani ya kipindi cha siku 15 ila nikijiangalia mfukoni ninamiliki Tsh 150,000/= tu je kuna namna naweza kufanya ili niifikie iyo pesaa
My location : Dar es salaam
150k apate 3M saa 8 Leo? Sisemi kama haiwezekani ila it's a very risky execution, hapo chance ya kupoteza Hio 150k ni more than 90%Mimi ningekua wewe hiyo 150K ningedeposit kwa broker nitrade forex leo kuna news kubwa sana ya GBP Interest Rate Decision hiyo 3M unayotafuta naipata leo saa 8.
Usipitwe na hii chance coz am gonna kill the broker ila usichukulie kirahisi tu kama kunywa maji unatakiwa uwe mastermind kwelikweli kama una roho na akili ndogo kaa mbali unaweza ukalia bila kupenda
🤣 anadhani ni kitu rahisi tuHapo inabidi udhamini maduara na uwakope wenye makarasha, kupata 56g per week inabidi uwe taita, alafu mpuuze huyo maana hakuna mahali utauziwa dhahabu ukapate faida ya 57k kwa Kila gram
Hivyo vitu acha vinipitie mbali.mkuu hata dakika 10 haifiki, jamaa mmoja magomeni saa 8 usiku alikuwa na m7 asubuhi ana zero balance. NAWAHESHIMU SANA MAPILOT WA AVIATOR
CCM oyeeeMtaji wa 150,000 uzalishe faida ya 3m... Hapo faida ni 2000% ya mtaji. Tusikupe moyo mkuu, kupata faida ya asilimia afu mbili ngumu ndani ya nusu mwezi
Hivi wewe mbona una kichwa kigumu hivyo kuelewa???? Hapo ni mgodini kabisa hivi hauna hata namba za wachimbaji uwaulize wanauzaje kwasasaHapo sokoni au shimoni!?
Pia hiyo dhahabu karat ngapi!?
Gram 1 hapo imeuzwa kwa 195+k.
Basi ni huko mie nipo Tanga bei ya juu zaidi ya gram moja ya karat 18 ni 110k.Hivi wewe mbona una kichwa kigumu hivyo kuelewa???? Hapo ni mgodini kabisa hivi hauna hata namba za wachimbaji uwaulize wanauzaje kwasasa
Mbona unachanganya mada mzee!?Mi nimefanya sana biashara ya machimboni ndo maana jamaa hata nimeamua kumpotezea tu, unachosema ndo uhalisia, faida per gram ni elfu 6 mpaka 8, that's it, ila faida ya elf 57 sasa Kila mtu si angeenda tu kuuzia sokoni....
Alafu unamshauri mtu aende machimboni na laki 3 akawe kota/digala kweli???😃😃😃 Hata mtaji wa gram 2 Hana? Aisee
Umeshindwa kutengeneza faida hiyo ni wewemkuu huyo jamaa ni tapeli, ni anacheza na maneno tu uhalisia haupo, hv mkuu ununue kilo moja ya dhahabu kwa 90m uende sokoni upate faida ya 57m hv kwa akili yako inaingia akilin hata kama hujui kuhusu hyo biashara. nakuapia mkuu hakuna digala anapata faida ya zaid ya 10k/g kwenye dhahabu, tena hapo kacheza michezo michafu kama kutemper na scale etc. dhahabu ingekuwa na faida kubwa kama jamaa anavodai tusingekuwa kunapishana na madigala kwa mama lishe kufuata ugali dagaa mkuu. 57k/g faida? over my dead body, tena unafanya uchuuzi sio hata kuwa umedhamini duara? which is too risky, kupoteza hela ni kugusa tu.
Nimempa wazo mkuu kama ataweza aende,nimempa wazo kulingana na fedha yake.Gram 56 per week siyo kitoto mkuu kwa mfumo huo?......Afu hiyo bei ya mwaka gani au Mgodi gani 90k@1gram
Mie nimempa jamaa wazo,wakati ukisema hivyo wewe pale ofisi ya tume ya madini Morogoro kuna mwananyama kwa wiki anakata kibali cha kusafirisha dhahabu gram sio chini ya 200 kwenda Dar es Salaam.Hapo inabidi udhamini maduara na uwakope wenye makarasha, kupata 56g per week inabidi uwe taita, alafu mpuuze huyo maana hakuna mahali utauziwa dhahabu ukapate faida ya 57k kwa Kila gram
Narudia tena hakuna mgodi wowote unaweza nunua dhahabu kwa tofauti ya elf 57 na Bei iliyopo sokoni, hakuna mchimbaji yoyote atakukamulia dhahabu akuuzie wewe ukapate faida ya 57 kwa Kila gram!! Wewe unayekomaa leta mfano halisi wa Bei ya shimoni na Bei ya sokoni itofautiane 57k, sema ni mgodi huoMie nimempa jamaa wazo,wakati ukisema hivyo wewe pale ofisi ya tume ya madini Morogoro kuna mwananyama kwa wiki anakata kibali cha kusafirisha dhahabu gram sio chini ya 200 kwenda Dar es Salaam.
Jiulize yeye anapataje!?
Umeshatembea migodi yote mpaka useme kuunda faida hiyo haiwezekani!?
Usiongee kwa unachokijua wewe tu mzee.
Hii ni njia rahisi ya jamaa kupoteza hela zake.Kama unaweza ingia katika uchuuzo wa dhahabu,kwa 5m utapata gram 56 kwa 90k@ gram.
Ukienda sokoni gram moja ni 147k inamaana kwa gram 56 utatengeneza 8.08 milions ukitoa mtaji faida itakua 3.2 milions.
Kila wiki fanya safari moja migodini inamaana kwa mwezi utakua umetengeneza faida ya milion 7-8.5 ukitoa na gharama za usafiri na kodi.
Hapo 5milions itakua iko nje kama mtaji na utakua umetengeneza 7-8 millions kwa mwezi.
Kama utaweza uchuuzi wa madini ya dhahabu.
Ukiona mtu anakuita kwenye biashara ya kutengeneza milion 8 kwa mwezi kwa kutumia mtaji wa milioni 5, afu yeye hafanyi Hio biashara anakuambia anafanya ishu zingine kwa sasa, shtuka sana!!!Hii ni njia rahisi ya jamaa kupoteza hela zake.
Mkuu naomba utoe somo kidogo kwa faida ya wengine, yaani mchako mzima wa kupata leseni na jinsi ya kufanya uwekezaji huo kiujumla.Mkuu kama unataka uelekezwe sema mimi nimefanya hiyo biashara na leseni ninayo,unachobisha wewe nini!?
Unataka kuelekezwa!?
Sema tukuelekeze.