mkuu huyo jamaa ni tapeli, ni anacheza na maneno tu uhalisia haupo, hv mkuu ununue kilo moja ya dhahabu kwa 90m uende sokoni upate faida ya 57m hv kwa akili yako inaingia akilin hata kama hujui kuhusu hyo biashara. nakuapia mkuu hakuna digala anapata faida ya zaid ya 10k/g kwenye dhahabu, tena hapo kacheza michezo michafu kama kutemper na scale etc. dhahabu ingekuwa na faida kubwa kama jamaa anavodai tusingekuwa kunapishana na madigala kwa mama lishe kufuata ugali dagaa mkuu. 57k/g faida? over my dead body, tena unafanya uchuuzi sio hata kuwa umedhamini duara? which is too risky, kupoteza hela ni kugusa tu.