Mkuu mie nimempa wazo mtu kwa hela yake.Kosugi unataka kuaminisha watu kua wewe umeacha Hio biashara ya kupata turnover ya milioni 96 kwa mwaka(milion 8 Kila mwezi) Kama faida, kwa kutumia milioni 5 tu kama mtaji unafanya ishu zingine kwa sasa?
Hakuna shehemu mkuu haupotezi hela katika uwekezaji.Hii ni njia rahisi ya jamaa kupoteza hela zake.
Nenda kwa Bashe ukaombe kibali cha kuagiza sukari. Kuna meana hapa kitaa huwa anafanya deal za kuhamishia watu miziki na movies kutoka kweny computer yake na kuwawelea kwenye simu na flash yeye pia kimzahamzaha amepewa kibali cha kuagiza sukari.
Watu wanauzaga kwa wahindi mkuu, masokoni ni upuuzi tu alafu nilipokuepo Mimi dhahabu ina 98%Basi ni huko mie nipo Tanga bei ya juu zaidi ya gram moja ya karat 18 ni 110k.
Na nimeuliza Morogoro ni vivyo hivyo.
Huwenda inayouza wewe ina karat za juu zaidi na sijui huyo unayemuuzia anaenda kuuza wapi maana hiyo uliomuuzia ndio bei yenyewe ya sokoni.
Inategemea unaopata wapi hiyo dhahabu na huyo mtu unaamiliana naye vipi.Narudia tena hakuna mgodi wowote unaweza nunua dhahabu kwa tofauti ya elf 57 na Bei iliyopo sokoni, hakuna mchimbaji yoyote atakukamulia dhahabu akuuzie wewe ukapate faida ya 57 kwa Kila gram!! Wewe unayekomaa leta mfano halisi wa Bei ya shimoni na Bei ya sokoni itofautiane 57k, sema ni mgodi huo
Nitaku PM mkuu kama hautojali.Watu wanauzaga kwa wahindi mkuu, masokoni ni upuuzi tu alafu nilipokuepo Mimi dhahabu ina 98%
Sawa mkuu ila saivi soko lipo juu sanaInategemea unaopata wapi hiyo dhahabu na huyo mtu unaamiliana naye vipi.
Kwa mimi kipindi cha 2020 mto mbezi wa Morogoro Mkutubi walikua wakiuza bei hiyo ya 90k.
Wengine ni wa Matombo ile njiapanda ya Mbuga nako walikua wanauza hiyo 90k.
Sokoni mimi nilikua nikiuza 134k nikikata kibali kuingia Dar pale Posta nilikua nikiuza mpaka 145+k.
Ambayo kwa pale Posta wanaipima karat,wanakulipa kulingana na karat.
Ni mwaka sasa toka mwaka jana Aprili nimesimama sijajua sasa hivi hali inaendaje.
Ila niko Mashewa sasa hivi mwisho mwaka jana kwenye mto wa Zisa walikua wanachimba gram walikua wanauza kwa 90-95k.
PoaNitaku PM mkuu kama hautojali.
Kwenye mida ya saa 10 jioni nikuulize maswali zaidi kuhusu jambo hili.
Ingia katika blog ya tume ya madini maelezo yapo mkuu.Mkuu naomba utoe somo kidogo kwa faida ya wengine, yaani mchako mzima wa kupata leseni na jinsi ya kufanya uwekezaji huo kiujumla.
Pambana sana inawezekanaView attachment 3021014View attachment 3021012
Hayo ni mawax ya wanawakeMkuu hii ni biashara gani
Uzi konki sana huu
Haha, nimecheka, ila jf daah haha....Hivyo vitu acha vinipitie mbali.
Kuna jamaa juzi nimemkuta kawekwa Kati na madogo wanamfundisha hiyo kitu ndani ya dakika 2 kapigwa buku5
Akaniomba jero angalau anunue fungu la mchicha apeleke home familia ikale.
Nikamwambia aibuke tu Gheto Kuna bustani pale ajichumie tu mboga na nyanya!!
Akasema harudii tena
hapo ndo ushangae mkuu, mtu anakimbia 96m kwa mwaka kwa mtaji wa 5m.Kosugi unataka kuaminisha watu kua wewe umeacha Hio biashara ya kupata turnover ya milioni 96 kwa mwaka(milion 8 Kila mwezi) Kama faida, kwa kutumia milioni 5 tu kama mtaji unafanya ishu zingine kwa sasa?
Hako kadubwana kana fyeka kweli boom za wanafunzi 😂Hio bila kindege Aviator ni ngumu kutoboa
Coz mabahasha nao hawawakawii kutoa speaker 😁😁😁kua makini
Mimi niliudharau mwanzon sikujua kama watu wangeshuka nondo za maana humu, nimeokota mawili matatu. Ishu ni utekelezaji tuUmeona eee tena ningeandika kwa mtaji wa laki 500k nafikili ndio ungeshiba zaidi