Mkuu mie nimempa wazo mtu kwa hela yake.Kosugi unataka kuaminisha watu kua wewe umeacha Hio biashara ya kupata turnover ya milioni 96 kwa mwaka(milion 8 Kila mwezi) Kama faida, kwa kutumia milioni 5 tu kama mtaji unafanya ishu zingine kwa sasa?
Hata kama angekuja na laki 9 angetaka nimpe mchanganuo huo ningempa mchanganuo huo huo.
Na mimi sijasema kuwa nilikua nina mtaji wa 5milions.
Bali nimemjibu ambaye ana 5milions.
Mie nilipofika kwa sasa inatosha yeye kama anaweza kufanya akafanye nimempa wazo.