Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Kosugi unataka kuaminisha watu kua wewe umeacha Hio biashara ya kupata turnover ya milioni 96 kwa mwaka(milion 8 Kila mwezi) Kama faida, kwa kutumia milioni 5 tu kama mtaji unafanya ishu zingine kwa sasa?
Mkuu mie nimempa wazo mtu kwa hela yake.
Hata kama angekuja na laki 9 angetaka nimpe mchanganuo huo ningempa mchanganuo huo huo.
Na mimi sijasema kuwa nilikua nina mtaji wa 5milions.
Bali nimemjibu ambaye ana 5milions.
Mie nilipofika kwa sasa inatosha yeye kama anaweza kufanya akafanye nimempa wazo.
 
Kumbe hao madogo wa movie library wanapiga hela, yaani kapata kibali cha kuagiza sukari. Ina maana mtaji anao na kautoa hapo kwenye library yake.
Nenda kwa Bashe ukaombe kibali cha kuagiza sukari. Kuna meana hapa kitaa huwa anafanya deal za kuhamishia watu miziki na movies kutoka kweny computer yake na kuwawelea kwenye simu na flash yeye pia kimzahamzaha amepewa kibali cha kuagiza sukari.
 
Basi ni huko mie nipo Tanga bei ya juu zaidi ya gram moja ya karat 18 ni 110k.
Na nimeuliza Morogoro ni vivyo hivyo.
Huwenda inayouza wewe ina karat za juu zaidi na sijui huyo unayemuuzia anaenda kuuza wapi maana hiyo uliomuuzia ndio bei yenyewe ya sokoni.
Watu wanauzaga kwa wahindi mkuu, masokoni ni upuuzi tu alafu nilipokuepo Mimi dhahabu ina 98%
 
Narudia tena hakuna mgodi wowote unaweza nunua dhahabu kwa tofauti ya elf 57 na Bei iliyopo sokoni, hakuna mchimbaji yoyote atakukamulia dhahabu akuuzie wewe ukapate faida ya 57 kwa Kila gram!! Wewe unayekomaa leta mfano halisi wa Bei ya shimoni na Bei ya sokoni itofautiane 57k, sema ni mgodi huo
Inategemea unaopata wapi hiyo dhahabu na huyo mtu unaamiliana naye vipi.
Kwa mimi kipindi cha 2020 mto mbezi wa Morogoro Mkutubi walikua wakiuza bei hiyo ya 90k.
Wengine ni wa Matombo ile njiapanda ya Mvuha nako walikua wanauza hiyo 90k.
Sokoni mimi nilikua nikiuza 134k nikikata kibali kuingia Dar pale Posta nilikua nikiuza mpaka 145+k.
Ambayo kwa pale Posta wanaipima karat,wanakulipa kulingana na karat.
Ni mwaka sasa toka mwaka jana Aprili nimesimama sijajua sasa hivi hali inaendaje.
Ila niko Mashewa sasa hivi mwisho mwaka jana kwenye mto wa Zisa walikua wanachimba gram walikua wanauza kwa 90-95k.
 
Inategemea unaopata wapi hiyo dhahabu na huyo mtu unaamiliana naye vipi.
Kwa mimi kipindi cha 2020 mto mbezi wa Morogoro Mkutubi walikua wakiuza bei hiyo ya 90k.
Wengine ni wa Matombo ile njiapanda ya Mbuga nako walikua wanauza hiyo 90k.
Sokoni mimi nilikua nikiuza 134k nikikata kibali kuingia Dar pale Posta nilikua nikiuza mpaka 145+k.
Ambayo kwa pale Posta wanaipima karat,wanakulipa kulingana na karat.
Ni mwaka sasa toka mwaka jana Aprili nimesimama sijajua sasa hivi hali inaendaje.
Ila niko Mashewa sasa hivi mwisho mwaka jana kwenye mto wa Zisa walikua wanachimba gram walikua wanauza kwa 90-95k.
Sawa mkuu ila saivi soko lipo juu sana
 
Mkuu naomba utoe somo kidogo kwa faida ya wengine, yaani mchako mzima wa kupata leseni na jinsi ya kufanya uwekezaji huo kiujumla.
Ingia katika blog ya tume ya madini maelezo yapo mkuu.
Wanakupa maelezo na mlolongo mzima.
 
Hivyo vitu acha vinipitie mbali.
Kuna jamaa juzi nimemkuta kawekwa Kati na madogo wanamfundisha hiyo kitu ndani ya dakika 2 kapigwa buku5
Akaniomba jero angalau anunue fungu la mchicha apeleke home familia ikale.
Nikamwambia aibuke tu Gheto Kuna bustani pale ajichumie tu mboga na nyanya!!
Akasema harudii tena
Haha, nimecheka, ila jf daah haha....
 
Kosugi unataka kuaminisha watu kua wewe umeacha Hio biashara ya kupata turnover ya milioni 96 kwa mwaka(milion 8 Kila mwezi) Kama faida, kwa kutumia milioni 5 tu kama mtaji unafanya ishu zingine kwa sasa?
hapo ndo ushangae mkuu, mtu anakimbia 96m kwa mwaka kwa mtaji wa 5m.
 
Siku 10?...... Next to impossible

Hapo inabidi ubet tu, tafuta odd zako 30 tia mzigo wote...... if you’re luck enough utapata
 
Back
Top Bottom