Nina Tsh 150,000 tu, nifanye nini ndani ya siku kumi na tano nipate Tsh 3,000,000?

Hata ukiuza Cocaine kwa mtaji huo huwezi kupata 3M.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You need SMART goal settings, yaani Bora wa 5m anataka apate 1m ili awe na 6m kuliko mwenye 150,000 anataka apate 3m ndani ya siku 15 napenda kufundisha elimu ya ujasiriamali ila humu niwajuwaji sana

Ujamuelewa vizuri mkuu
 

Wewe kuna shida kidogo kwenye uti wa mgongo wako kwa chini sio bure
 
Tafuta odd 3 kila siku weka hela yote, mpaka hiyo siku ya 15 utakuwa na zaidi ya kusudio lako.
 
Mkuu we muongo sana, kwanza ni wapi ambapo utapata gram 56 kwa wiki, pili bei ya elfu 90 bado ipo mgodi upo huo??? sasahivi gram Moja inalaki 2 we unamdanganya mwenzako et 90kπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wadau tupo wengi ila yeye hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…