dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Ushauri mzuriKitendo tu Cha kuwa jasiri na kuja hapa jukwaani na kueleza ukweli ukitaka ushauri, maana yake una akili. Unakosa tu miongozo midogo midogo kutoka kwa kaka yako na watu wa karibu. Kifupi hujachelewa, lakin pia usibweteke. Kama umeamua kuwa fundi, kajipendekeze na kajichanganye huko kariakoo kama saidia fundi. Baada ya muda na wewe utakuwa master na kujitegemea mwenyewe. Kuhusu majirani wapuuze. NEVER GIVE UP!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app