dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Ushauri mzuriKitendo tu Cha kuwa jasiri na kuja hapa jukwaani na kueleza ukweli ukitaka ushauri, maana yake una akili. Unakosa tu miongozo midogo midogo kutoka kwa kaka yako na watu wa karibu. Kifupi hujachelewa, lakin pia usibweteke. Kama umeamua kuwa fundi, kajipendekeze na kajichanganye huko kariakoo kama saidia fundi. Baada ya muda na wewe utakuwa master na kujitegemea mwenyewe. Kuhusu majirani wapuuze. NEVER GIVE UP!!
Huu uzi bila kumuona Mr. ROBERT HERIEL akichangia, haunogi kwa kweliUsiuze simu.
Baki Kwa Bro.
Tafuta vibarua.
Kusanya Pesa kidogo kidogo Kwa mwaka na Nusu.
Ukishapata milioni moja au laki tano,
I. Nunua godoro, Nunua Niko la gesi na mkaa, Nunua sufuria nne. Bakuli, sahani na vijiko.
2. Nunua mapazia, shuka mbili na neti.
3. Nunua na neti.
Jumla hutomaliza 300,000
Inayobakia lipia Kodi zile za elfu 30-40 miezi mitatu.
Inayobakia Nunua chakula ndani kitakachokuaukuma hata miezi miwili. Kwa vile uko mwenyewe Hilo hatalitakushinda
Pole Sana Kaka ako Ana huruma sanaNahisi hivyo maana jana nilimwambia kwamba nataka kuhama nilitegemea angeniambia nibaki kwanza nijipange ila ch kushangaza alinijibu tu kwamba yeye awez kunifukuza swala ni mimi mwenyewe kuchukua uamuzi
Acha kumkatisha tamaa mpe ushauri pa kuanzia, kumwambia ajichanganye kwenye zege ni kumdharauHUU MWANDIKO WA MTU MWENYE MIAKA 30, AFU MWANAUME..!! Ukiendelea hivi hutoboi..!! Kajichanganye kwenye mazege huko
Kilimo nacho kinahitaji pesaRudi kijijini ukalime mkuu, pesa zipo mashambani au nenda kariakoo kwa mafundi simu uanze kutengeneza nao urafiki ujifunze bure then na wewe unatafuta goli lako, utaokoteleza pesapesa
Kheee..!!! Kumwambia ajichanganye kwenye zege ni kumdharauu!!?? Kwamba kubeba zege au kuchanganya zege kunafanywa na watu wanaodharaulika..?? Kuna dharau gani pale?Acha kumkatisha tamaa mpe ushauri pa kuanzia, kumwambia ajichanganye kwenye zege ni kumdharau
Acha kupotezewa muda huyo anaekuambia ukaimbee ccm mbel kwa mbeleDuuh..kwahiyo ntakuwa naimba tu muda wote au kuna shughuli nyingine ntapewa na kuanzia asubuhi mpaka jion ntakuwa hapo hapo ofisini kwao
Uko sahih bwan luchaPole Sana bro kwa changamoto ila endlea kupambana habari nzuri ni kuwa hakuna kinacho dumu milele
Tumbo likishiba kwa kawaida viungo vingine huwa na njaa ya mammbo mbalimbal.sijaona kusema bro wako anakaa na mke au kimada kwa maana hio hapo ni nyie tu wawil.sion haja ya kupanga wala kuondoka madhal kaka yako hajakusimanga au kero za shemej.we kweli wa kuongozwa umemaliza kidato gani? Maana duh enzi zangu nilikua nashinda zoom ku upload cv nimepigq mpaka promotion.sasa wewe mwenyew hujajua ushike nini? Bro wako anakutoa hela.ya kula.akitoka na wewe safisha chumba toka sio kutoka kama kwako hata kupasafisha tu unashindwa ustaarabu hamna nyie watoto wa sasa hivi hamna malez kwa baadhi.safisha chumba panga vizuri chemsha chai kunywa.kama maj ya kuchotq chota weka mazingira sawa na wewe oga zagamka mjini huko.kwa ufund simu ambao tayari umeshawekeza anza na kujichanganya na masela wale wa kkoo wale wana technik moja,anapenda sana kuwa around sehem wanapouza spea kama screen charge ports n.k.ukirnunua tu anakuvaa kubadilisha kioo bro sh 10000 mnashushana pale anatoa vi bis bis vyake anaend sehem anakusetia ukija kuzoea unakua unakamata wateja unawapeleka hata meza ya mshakaj ambaye utakua unamtoa japo kidogo mana nao usione vimeza meza kkoo ukafikiri unaamka tu chanika unakuja kuweka meza kkoo unalipa pale kwa wajanja wachachheMwaka unaweza usiishe ukajikuta unarudi mkoani, maana kurudi kwa kaka yako utaona aibu. Embu toka tafuta ata kazi za saidia fundi, ukishakuwa na akiba ya kutosha ndo ukapange sasa.
Yani uko busy kutongoza mademu wakati unalishwa na kaka yako badala ya kupambana upate ridhki, eti kupendeza unataka kupendeza [emoji1787] ili mademu wakuone wakati huna kipato chochote. We mshukuru kaka yako kakushika mkono kakuleta mjini na kakupa hifadhi vitu vingine unatakiwa ujiongeze mwenyewe ata kama ni kubeba zege ili mradi ufikie malengo yako.
Dharau Sana eti kajichanganye kwenye zege hatuzarau Kaz lkn jmn kuwe angalau na Kaz zingine San ajikite kutengeneza hizo simuAcha kumkatisha tamaa mpe ushauri pa kuanzia, kumwambia ajichanganye kwenye zege ni kumdharau
Msadie bhna tafadhali usimtapeliKama uko interested kufanya kazi uarabuni njoo nkupe mwongozo inbox.
Maisha hayana formula, mimi nilishika sana pesa nikiwa na miaka 18 tu mpaka nikiwa na miaka 29 lakini nilikua mpumbavu sikufanya maendeleo. Labda cha kujivunia wakati huo ilikua ni wana niliowasaidia ambao nao hawakuja kunifaa nilipoanguka. Miaka 30-32 nilikua choka mbaya nikarudi kukaa kwa mama mzazi. Baada ya hapo mambo yakanyooka na sikufanya tena makosa yangu ya nyuma.
Bro huwa nakubali sana mashauri yako nilitamania utie neno kwenye uzi wangu wa jana. sijui hukuuona??Kiafrika Afrika, miaka 30 kwa mwanaume ndio kwanza kunakucha. Angekuwa mwanamke au mchezaji wa mpira, umri huo tungesema ni Mzee.
Hajachelewa, aende kwa mafundi akajitolee ili aongeze ujuzi
Ya kwanzaWewe uliye serious na maisha, uko nafasi ya ngapi kwa utajiri barani afrika
Hatoi mia. Nimehuzunika na hali yake.