Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa

Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Huyu mtu mzima Ndio anaekufaa
 
Yale yale 'naona kama hatutaishi vizuri',hapo tayari tumeshajua unatafuta pesa na sio mapenzi,la pili hao ndugu zako wanaosema watakutenga huyo mume atakuwa ni wako au wa ndugu zako....?
 
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Njoo kwangu niikate kiu yako.
Hakika uta enjoy.
Yes uta enjoy!
 
Jaman wanaume wenzangu kataeni ndoa, huyu atalalwa na hao wanaume wawili Maisha yake yote!
 
inaonesha unacho weka mbele wewe na familia ni lwenye upande wa pesa sio upendo. Basi wawili hawatoshi tafta option nyingne kama 10 hvi. Maan inaonesha bora wali kuku vitani. Ni vyema kuangalia financial state ya mtu ili usiteseke
Pia zingatia
1 mental state
2 family background
3 GOD fearing person
Bado upo 20s haraka ya nini kwenye ndoa. Chukua muda wako vzr kuji build character, kujenga foundation kwenye relationship na kujuana zaidi pia ishi maisha yako vzri kabla hujaingia kwenye mikataba ya ndoa ukajutia

SISI KAMA FAMILIA TUNATAKA BINTI YETU AOLEWE NA MTU MWENYE PESA ATUKOMBOE ATA KAMA MTU HUYO AKIPATIKANA GUINEA
 
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Mbona kitabia cha Ikwitorio gini kinaanza kukuvamia mkuu
 
Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi m
 
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Wewe Irene wewe ticha Irene madam Irene kuwa makini
 
[/QUOTE]
Achana na kuwa mtaji wa familia na wanandugu chagua umpendaye pesa zinatafutwa. Kama wanataka kuokoa familia waolewe wao na wanaume wenye vipato kama kuolewa ni mtaji.
 
Back
Top Bottom