Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa

Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Chai za idd wa Facebook kumbe jamii forum wa copy and paste wako wengi aiseee
 
Nakuusia Mimi mwana jf ya kwamba
Epuka kitu kinaitwa big difference kwenye relationship
Yan kwenu inaonekana hamna uwezo eti ukaolewe mwenye uwezo wa pesa my dear friend u will suffer
So jitahidi ku minimize hyo big difference nenda kwa mwamba hyo mwenye hali ya kawaida
 
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Piga goti muombe Mungu akufunulie yupi wa kuoana naye husije ukaingia mahala pabaya sana omba pia funga juu ya ilo jambo lako muulize Mungu yeye ndo anachunguza mioyo kwa hiyo yeye ni mwaminifu atakufahamisha kwa ndoto ila omba yeye ndo msemaji mkuu akisema huyu hafai ni hafai kweli kweli kwa ushauri wa ndoa na mausiahano naomba unipm nitakuombea
 
Na akiaambiwa wote hawafai atakubali!? Maana Mungu yeye ndiyo anajua ukweli wote ule!!
 
Olewa na anaekuzidi miaka kumi huko mbele mtaendana tu maana mwanamke huwahi kuzeeka, kuhusu kipato kitapendeza huko mbele ana kheri aliye kwenye ajira kuliko anaetegemea wazazi utajuta mbeleni
 
Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa. Labda nikufafanulie kidogo, kaka. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo anampa kila kitu. Hata kufanya kazi hataki, kwani ameshapewa nyumba na mama yake na mama yake anataka sana niolewe na kijana wake.

Ameniahidi kuwa nikiolewa naye atanipa mtaji na kunifungulia biashara ili niisimamie. Huyu kaka sina mahusiano naye sana — ni mama yake tu aliyenipenda sana na akasema anataka niolewe na kijana wake. Alituunganisha na mwanaume huyu, naye alivutiwa na mimi, akaahidi kunipa kila kitu.

Mwanaume wa pili ni mtu mzima kidogo, ana miaka 34. Yeye ni mfanyakazi wa serikalini, na kipato chake ni cha kawaida tu. Anaishi maisha ya kawaida, hana nyumba ya kwake; amepanga, lakini anaishi vizuri. Tumekuwa kwenye mahusiano kwa miaka 3, na sasa anataka kuja kwetu kunioa.

Shida ni kwamba ndugu zangu hawataki kumsikia kabisa. Wanasema kuwa nikiolewa naye, watanitenga, yaani ni kama wanataka niokoe familia. Nampenda huyu mtu wangu, lakini nikifikiria maisha yake na mshahara wa laki 8, naona kama hatutaishi vizuri. Naomba unisaidie, kaka, nisije kufanya uamuzi mbaya!
Wanaume wawili na wote unawapa Mbususu...Wewe ni kamalaya
 
Hii story kama Ina ukweli Ina maana manzi anapigwa (Monday na Tuesday) Yan tuite ndo three some🤣

Kiufupi. Pumbafu Tatu Nampa Huyu binti afu bado hajajua anataka nini
 
Back
Top Bottom