Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa

Acha ujinga wewe nenda kwa hao wenye ndalama Sasa kidume wa laki nane wa nini wewe?
Kila mwanaume anacheat so Bora ulie ukiwa kwenye range rover kuliko Bajaj.
Wazazi wako wana akili mapenzi hakuna siku hizi ni kutumiana tuu. Sasa hakikisha mbususu yako I akulipa.
 
So ndugu zako wanataka ukaolewe na tajiri ili ukawe unataunza yale majini mandondocha ya baba mkwe?

just joking!😂😂

Ila ndoa ni mambo binafsi wala siyo ya ndugu.Mwisho wa siku wewe ndiyo mhusika mkuu.Maana hao ndugu zako zao njaa ndiyo inayowasumbua. Njia ya upotevuni mara nyingi huonekana njema machoni pa mwanadamu.
 
Kama unaolewa ili uwe na aman ya moyo uwe na afya nzur ya akili olewa tu na huyu wa mshahara wa lk8 pesa sio kitu my dear km kuzitafta mtatafuta wote na mtazipata nying tu ila kama unaolewa uikomboe familia wamekufanya ww n mkombozi wameshindwa kujikomboa wenyew olewa na uyo mtoto wa mama akili kichwan tu tamaa za maisha mazuri zisikufanye ukose aman ya moyo
 
Acha uzinzi kwanza, ndiyo maana mkiolewa hamridhiki.
 
Na akiaambiwa wote hawafai atakubali!? Maana Mungu yeye ndiyo anajua ukweli wote ule!!
Ina bidi akubali kwa maana Mungu ndiye aliyetuumba anatujua kabla hatujazaliwa kwa hiyo anatakiwa ahisikilize sauti yake kwa maana Mungu ni mkuu kuliko vitu vyote na yupo juu sana kupita kila miungu yote ya duniani kwa hiyo akimsikiliza yeye huyu Mungu aliyeziumba mbingu na nchi atamuongoza kwenye njia ipasayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…