Nina wanaume wawili na wote wanataka kunioa

Thinking maturity bado kidogo,tutakushauri ukikua au utakapotenganisha hisia,uhalisia na pesa
 
Una wachumba wawili au una wanaume wawili?
Kama ni kweli una wanaume wawili tayari ulisha olewa.
 
Wanaume kazi tunayo watu wana tuwazia kuwakomboa kwenye umaskini alio ushindwa baba yao
 
Kumbe ndo maana yule jamaa alifikisha 400 akili zenu finyuuuuu
 
Olewa na huyo mtu mzima,hivyo vitisho vya ndugu zako,visikusumbue hawaolewi wao unaolewa wewe,kuhusu mali na pesa mtatafuta wote
 
Hao wawili hawata kuoa utapigwa mimba na boda mwenye mke na michepuko watatu wewe utakuwa michepuko wake wa nne na utachoma mihogo na maandazi Ktk maisha yako yote
 
Huo huo mshahara wa 800k mkiutumia vizuri na maelewano yakawepo mbona mtatoboa tu...

Kikubwa we angalia amani yako ilipo

Mkiunganisha mawazo na bidii zenu 800k yake sio kikwazo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…