Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

yani kijana m bichi wa miaka 27 ulitafuta mke ukachoka?,,,, enweiiii kama moyo wako haupo tayali usiuforce kisije kikakulamba huko ndani
Hakika dada
 
Jibu fupi sana bado hujagrow na kuwa tayari kwa majukumu ya ndoa! Unataka binadamu mkamilifu au EQ yako bado haijakomaa na kuwa na uwezo kuwa na mtu kwenye space yako
It's same to my mind
 
Jibu fupi sana bado hujagrow na kuwa tayari kwa majukumu ya ndoa! Unataka binadamu mkamilifu au EQ yako bado haijakomaa na kuwa na uwezo kuwa na mtu kwenye space yako
It's same to my mi
Sijui npo na shida Gani uwa kunawakati najilaumu hata sitambui nn kinanisumbua
 
We bado mdogo ndio maana unasita, miaka 27 unaoa dunia ya leo ukifika miaka 37 utakuwa hoi bin taabani.

Fanya hivi, huyo 17 bado mtoto. Mwache afike 18 ndio aanze mahusiano nae … muongoze aanze kujishughulisha, akifika miaka 21 na wewe utakuwa 30 muoe.

Usimuache aende….

Wazazi wa aina gani hawa wanataka binti wa miaka 17 aolewe? wamechoka kumlea? wamechoka kumlisha? Hiyo familia ni redflag.
 
oa tuu yakikushinda tutakupokea chamani mzee, kama ua shida kiafya kiuchumi, unaogopa ndoa usioe kuwa na machalii wanawake kibao wapo hasa hawa mafeminist tia mimba lea kojo lako
 
Wanaume wanamatatizo yq kipumbafu sana

Principal nzuri ya kuoa ukainjoy life ni mke akupende

Ukipenda wewe mke asikupende ni jehanam ya ndoa kabisa

Kama mke amekupenda na ukawa na uhakika na amekubalika nyumbani kwenu una raha sana

Wewe jifanye kufuata moyo wako majuto ni mlangoni pako na siyo mjukuu
 
Bado sijaelewa hofu yako ni ipi hapo?

Kama una wasiwasi na tabia jaribu kufanya upelelezi.
Kwa kuulizia mtaani kwao.

Hii inaonyesha jinsi gani ilivyo ngumu kuoa kwa mfumo huu wa zamani.
 
Mimi kama Mwalimu wa Hekima, Nakushauri wasikilize wazazi wako.

Kwa sababu wao ukiwaletea msichana unaye mtaka wewe maana yake wewe , ndiye unaye mjua mtu sahihi kuliko wao.

Kwa hiyo na huyo mtu wako hawatakuruhusu pia umuoe
Wata kwambia hafai ata kama anafaa.

Ukitaka kupatana na wazazi wako muoe huyo Binti & ukitaka Vita nao
Oa mwanamke unaye mjua wewe.
 
yani kijana m bichi wa miaka 27 ulitafuta mke ukachoka?,,,, enweiiii kama moyo wako haupo tayali usiuforce kisije kikakulamba huko ndani
Umewaza kama mimi na hapo hapo akaona bado hajajipanga 🫑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…