Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

Nina watoto sita, kila mtoto na mama yake, sitaki mama zao wawe "single mothers", nawezaje kuishi nao wote?

Tafuta Pesa,kanunue maeneo yanayofuatana wajengee kisha usafiri.Wapende wote sanjari na watoto wao.
MWISHO: kwa kuwa wewe ni mtu wa mizimu basi watengeneze wakae pamoja kwa raha.
 
Wewe ni kicheche sana huenda nao ukawala bora waishi kivyao na mama zao
 
Back
Top Bottom