Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Nina wivu nashindwa hata kumeza mate!

Ila ule ushauri wako wa kumung'unya mtarimbo unahitaji thread yake iliyokamilika! Manake inawezekana Annina anaweza kuususia kwa kuwa tu ex gf alikuwa anautumia atakavyo (Na kujiexpress ofkozi, huwezi jua)

Tehe tehe tehe tehe! I like the way you are thinking...!!!
 
Pole sana Geoff, uniwie radhi mpenzi wangu, sikukusudia kukuumiza... bado nasoma post na kuzijibu, wewe ni mmoja wa watu ninaowajali na kuthamini michango yao. Hope umenielwa.

Asante sana,

Annina

Noted With Many Thanks! Isije ikawa Annina ni mshiki wangu manake Geoff wa born for my washikiz ONLY and ONLY!
 
Anninia kiukweli mi nilimsoma anzia asubuhi, hakutegemea ushauri kama huu waliotoa wengi wa wapwa naona.
ukichunguza utaona senks zimegongwa kwenye post za namna gani.

haina mbaya lakini anninia....si unajua tena!!!!

Bht, pole sana kama umenielewa vibaya, nathamini mawazo ya kila mmoja, wewe ni miongoni mwa ninaowaheshimu hapa jamvini... hapo kwa blue coming from you inaniogopesha...

Asante sana,

Annina
 
Pole sana Geoff, uniwie radhi mpenzi wangu, sikukusudia kukuumiza... bado nasoma post na kuzijibu, wewe ni mmoja wa watu ninaowajali na kuthamini michango yao. Hope umenielwa.

Asante sana,

Annina
mwenye wivu ajinyonge jamaaaaeeeeh-MWENYE WIVU AJINYOONGEEEE

TUNACHAMBUA KAMA KARANGA JAAMAAAAA/..................
 
mtarimbo hawezi kuususia, !

Si anajidai kasusia seat ya mbele mwambie na mtarimbo nao aususie aone au aukate kabisa awe anatembea nao kwenye kipima joto kama anaubavu huu ni wivu wa kijinga.
 
Hahahahaha Nyamayao bana ndo nimetoka kanda za Mbagala kukusanya mpaka saizi zimefika 2mil.

hivi kwanini wakutese hivi kipenzi changu, we umetoka charambe, muhucka yumo humu anaruka ruka...hawakutendei haki...we G....nimeckia Mc atakuwa Chriss...
 
mtarimbo hawezi kuususia, acha bwana ile kitu achana nayo, magari, nyumba nk vitasusiwa lakini pale full stop hata ukisema umesusa, unaweza usijue saa ngapi uli-lift hiyo ban maana unaweza stuka kitu kiko ndani ya nyumba mwe!

Sasa mbona saa nyingine mkipewa mtarimbo huwa mnalia? Huwa mnaumia au ndio raha zenyewe? Mi siwaelewagi ujue?
 
mwenye wivu ajinyonge jamaaaaeeeeh-MWENYE WIVU AJINYOONGEEEE

TUNACHAMBUA KAMA KARANGA JAAMAAAAA/..................

Hapo hamna kitu ngoja niwahi gemu la Rwanda na Ndovu
 
hivi kwanini wakutese hivi kipenzi changu, we umetoka charambe, muhucka yumo humu anaruka ruka...hawakutendei haki...we G....nimeckia Mc atakuwa Chriss...

Yaa! Ntakava nafasi ya mpiganaji mwenzangu MC LEMA!
 
mtarimbo hawezi kuususia, acha bwana ile kitu achana nayo, magari, nyumba nk vitasusiwa lakini pale full stop hata ukisema umesusa, unaweza usijue saa ngapi uli-lift hiyo ban maana unaweza stuka kitu kiko ndani ya nyumba mwe!
HHAHAHAHAHAHA!...MWE!
MWE!
MWE!

ngoja nitarudi....
 
Sasa mbona saa nyingine mkipewa mtarimbo huwa mnalia? Huwa mnaumia au ndio raha zenyewe? Mi siwaelewagi ujue?
swali hili inabidi umuulize anayekulilia ndo utapata jibu specific na unachokuwaga unamfanyia au? mi nikikujibu hutaelewa,hey zd uko wapi? au eliza
 
hivi kwanini wakutese hivi kipenzi changu, we umetoka charambe, muhucka yumo humu anaruka ruka...hawakutendei haki...we G....nimeckia Mc atakuwa Chriss...

Si unajua tena mambo ya kamati we acha tu na siku ya tukio mm ndo nitake miliki kamati ya vinywaji funguo za store ni mm nitakuwa nacontrol. Chriss siku hiyo nitampa adhabu atakuwa anakunywa Banta au Nguli ndogo tu.
 
Bht, pole sana kama umenielewa vibaya, nathamini mawazo ya kila mmoja, wewe ni miongoni mwa ninaowaheshimu hapa jamvini... hapo kwa blue coming from you inaniogopesha...

Asante sana,

Annina

aaaah mpwa tena ya kutishana yanatoka wapi bana!!!!!!! i knw yu knw wat i meant bana (na senks niligonga kule kwenye topiki, unazani mchezo, mi nimchoyo wa kupress ile batani wewe muulize iribini)!! twenzetu tuendeleeee!!!!!
 
swali hili inabidi umuulize anayekulilia ndo utapata jibu specific na unachokuwaga unamfanyia au? Mi nikikujibu hutaelewa,hey zd uko wapi? Au eliza
wote wawili wana kesi ya kujibu................
 
He makubwa!!!!!
Mi nilisha sema wewe kichwani mwako kuna uwalakini hii akiona Mr. wako atakuelewaje?

Fidel bwana ucnivunje mbavu mie....sasa hizo 2 mil ni charambe tu na mkusanyo wa cku ya leo tu? mhh lijamaa litachangisha kweli.
 
Back
Top Bottom