FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
leo nilikuwa KWA-MJAPANI pale manzese.
chumba sh 35000/= MPAKA MONIE
EH!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo nilikuwa KWA-MJAPANI pale manzese.
chumba sh 35000/= MPAKA MONIE
Ila ule ushauri wako wa kumung'unya mtarimbo unahitaji thread yake iliyokamilika! Manake inawezekana Annina anaweza kuususia kwa kuwa tu ex gf alikuwa anautumia atakavyo (Na kujiexpress ofkozi, huwezi jua)
Pole sana Geoff, uniwie radhi mpenzi wangu, sikukusudia kukuumiza... bado nasoma post na kuzijibu, wewe ni mmoja wa watu ninaowajali na kuthamini michango yao. Hope umenielwa.
Asante sana,
Annina
Anninia kiukweli mi nilimsoma anzia asubuhi, hakutegemea ushauri kama huu waliotoa wengi wa wapwa naona.
ukichunguza utaona senks zimegongwa kwenye post za namna gani.
haina mbaya lakini anninia....si unajua tena!!!!
mwenye wivu ajinyonge jamaaaaeeeeh-MWENYE WIVU AJINYOONGEEEEPole sana Geoff, uniwie radhi mpenzi wangu, sikukusudia kukuumiza... bado nasoma post na kuzijibu, wewe ni mmoja wa watu ninaowajali na kuthamini michango yao. Hope umenielwa.
Asante sana,
Annina
mtarimbo hawezi kuususia, !
Hahahahaha Nyamayao bana ndo nimetoka kanda za Mbagala kukusanya mpaka saizi zimefika 2mil.
mtarimbo hawezi kuususia, acha bwana ile kitu achana nayo, magari, nyumba nk vitasusiwa lakini pale full stop hata ukisema umesusa, unaweza usijue saa ngapi uli-lift hiyo ban maana unaweza stuka kitu kiko ndani ya nyumba mwe!
mwenye wivu ajinyonge jamaaaaeeeeh-MWENYE WIVU AJINYOONGEEEE
TUNACHAMBUA KAMA KARANGA JAAMAAAAA/..................
chuda raha!...he makubwa!!!!!
Mi nilisha sema wewe kichwani mwako kuna uwalakini hii akiona mr. Wako atakuelewaje?
hivi kwanini wakutese hivi kipenzi changu, we umetoka charambe, muhucka yumo humu anaruka ruka...hawakutendei haki...we G....nimeckia Mc atakuwa Chriss...
HHAHAHAHAHAHA!...MWE!mtarimbo hawezi kuususia, acha bwana ile kitu achana nayo, magari, nyumba nk vitasusiwa lakini pale full stop hata ukisema umesusa, unaweza usijue saa ngapi uli-lift hiyo ban maana unaweza stuka kitu kiko ndani ya nyumba mwe!
swali hili inabidi umuulize anayekulilia ndo utapata jibu specific na unachokuwaga unamfanyia au? mi nikikujibu hutaelewa,hey zd uko wapi? au elizaSasa mbona saa nyingine mkipewa mtarimbo huwa mnalia? Huwa mnaumia au ndio raha zenyewe? Mi siwaelewagi ujue?
you have the position!FULL CONTROL!..........Yaa! Ntakava nafasi ya mpiganaji mwenzangu MC LEMA!
MC ukiwa wewe, kwenye harusi siji wala sichangi 😀Yaa! Ntakava nafasi ya mpiganaji mwenzangu MC LEMA!
hivi kwanini wakutese hivi kipenzi changu, we umetoka charambe, muhucka yumo humu anaruka ruka...hawakutendei haki...we G....nimeckia Mc atakuwa Chriss...
Bht, pole sana kama umenielewa vibaya, nathamini mawazo ya kila mmoja, wewe ni miongoni mwa ninaowaheshimu hapa jamvini... hapo kwa blue coming from you inaniogopesha...
Asante sana,
Annina
wote wawili wana kesi ya kujibu................swali hili inabidi umuulize anayekulilia ndo utapata jibu specific na unachokuwaga unamfanyia au? Mi nikikujibu hutaelewa,hey zd uko wapi? Au eliza
He makubwa!!!!!
Mi nilisha sema wewe kichwani mwako kuna uwalakini hii akiona Mr. wako atakuelewaje?