Ninachoona kwenye Parade ya China Aisee! Kama taifa na bara tupo nyuma sana

Hii ilikuwa ni baada ya failure ya Cultural Revolution ya Mao. Deng Xiaoping aliposhika usukani kaigeuza china yote KWA muda mfupi wakati sisi tukiendelea kupiga jalamba la kijani.
Huku kwetu tunaimba mboga mboga mbele kwa mbele
 
Mwandishi alikutana na Chidi Benz wa kichina😁
 
Wachina wamejitaidi ku project power na kuonesha vifaa vya modern warfare. Ila na amini, hawaja display kila kitu.
Kumbuka mataifa kama India ni adui yao mkubwa, na India pia alikuwepo kwenye hiyo display. But, China bado ana play catchup to the USA, kama baada ya miaka 3 hivi watakuwa ngoma droo.
 
Na miaka inavyozidi kwenda ndio tunazidi kuachwa nyuma zaidi kwasababu wenzetu wanajenga juu ya misingi waliyojiwekea miaka ya nyuma. Sisi hata kwenye msingi bado 🙁
Tupo tupo tu kama kuku aliyekatwa kichwa
 
Unaweza kuwa sahihi mkuu
 
ukigundua bunduki unauawa ,chopa unaliwa kichwa vipaji havitakiwi ila ndg kwenye kazi ndo wanatakiwa
Inasemekana ni mikataba flani huwa viongozi wa nchi wanakua washasaini.
 
Unataka ukamchape nani na hayo mabomu ?
 

Hizi pisi zimekula jalamba lakini huwezi kompea na waifu matirio ya kichagga... 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…