Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

Sawa inawezekana nina makosa ... lakini kwao nilishaenda na nikajitambulisha... yote kwa yote sioni kwamba alichochagua ni sahihi

Wewe kama unampenda mke wako mpiganie. Kumbuka kizuri unachokiona kwake wanakiona wengi
Tuma mshenga, lipa mahari, funga ndoa
 
Narudi kusoma ili nijue tunaanzia wapi kukupa adhabu
 
Baada ya kusoma comments roughly nimegundua wanawake wote waliochangia huu uzi wana side na mwanamke mwenzao.

So tatizo la huyu chali linaweza likawa ni tatizo la wengi katika jamii.
 
Ulifanya vibaya Sana mpka ukapata jina la kijana wa hovyo kabisa

Ni lazima ujiandae ndiyo uoe siyo utafute mwanamke harafu ndiyo ujiandae.


Anataka ndoa na mimba hiyo alipata kama mtego na yawezekana siyo wako , huyu mtoto anaweza kuw na Kadi tatu za kliniki moja ya jina lako mbili za majina ya Baba wengine .

Maana yeye anahitaji ndoa si mbali Sana anaweza kuolewa na mwanamme mwingine atakayekuwa tayari hata kama utamtema , kumbe naye ashakutema hapo ndo unajua Ngoma draw.
 
Baada ya kusoma comments roughly nimegundua wanawake wote waliochangia huu uzi wana side na mwanamke mwenzao.

So tatizo la huyu chali linaweza likawa ni tatizo la wengi katika jamii.

Mwanaume aspofanya mambo yake sawa anaweza zalisha shida nyingi sanaaaa
 
Ila mara nyingi ,mwanaume akishamzalisha mwanamke, huamini huyo mwanamke hana ujanja wa kupata mwingize zaidi yake yy, na kuamini kwamba mwanamke sokonlake ndo linakuwa limeishia hapo, kumbe ndivyosivyo.
Wanawake mnajitahidi kuteteana kwenye huu uzi
 
Kaa na mwenzio muyazungumze ,umepaniki mapema sana .Hakuna mahusiano yasiyo na changamoto na ukiona yamedumu ujue kuna mmoja amekubali kuwa chini .


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
mimi naona maisha ya mahusiano hayana formular.. yaan mambo taflan
 
Wanaume tu wabinasfi sana:

1. Miaka 4 ya mahusiano.
2. Umemzalisha - anaweza asiwe wako.
3. Amedai ndoa sana.
4. Ameenda tafuta chumba mwenyewe!

Yeye mwanamke angoja tu utakuja muoa? Kweli? Kweli? Hana kosa huyo mwanamke hata Kama analiwa!
Sasa huyo aliekuwa naye ndiyo atamuoa? Aliemtambulisha una hakika atamuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…