Ninahisi mpenzi wangu ana mwanaume mwingine

Bonge la point funga biashara zote ulizomfungulia. Usimsomeshe tena mpaka mtakapofunga ndoa kama ikitokea.

Kill her financially and academically
Poor mindset. Kwani ni lazima jamaa awe na huyo mwanamke.. si amuache aende zake
 
huyo mwanamke hashindwi kukuwekea sumu ufe il akainjoy na uyo mpumbav mwenzake, kama kaweza kukuchit akiwa na mtot mdogo hivyoz jiulize kipnd hana mtoto je? ama mtot akiwa mkubwa je? , uaminifu =0 hapo jombaa.

humu kila siku watu wanaleta mathread ya kutoshirikiana na wanawake ambao si wake kufanya maendeleo na kuwawezesha, lkn ninyi hamsikii, yakiwakuta ndyo mnarudi humu tena mkilia lia kutaka msaada.

kuwa mwanaume mwenye maamuzi na msimamo mkali, mueleze ukwel kuwa kama kapata mtu, bas wacha waendelee wew utamsaidia tu kulea mtoto, and take your time, find more money then catch the cute girl with smart behaviour na umuoe ukiona muda ushafika, acha tamaa za kumng'ang'ania mtu mwenye meno32 ambaye hujui moyon mwake anawaza kitu gani.

hiz tabia za kumganda ganda mtoto wawatu kama ruba hiz ndzo znasababisha hawa wanawake wanapandisha dharau na matendo ya mauwaji ktk mapenzi hayakomi sabbu ya kuendekeza upumbv wa kugandana gandana kama kupe, jifunze kumuacha aende, acha ujinga bro, huyo atakutesa sana ukimuweka ndani.

mark hii koment yangu, ipo siku utarud humu ukimlaani na , kuomba ushaur, lkn will be too late... fanya maamuzi sasa, mwanamke msaliti ktk mapenz yaliyofikia level yenu huyo ni sawa na mchawi anaeloga boti izame majini ilihali nayeye yumo ndani ya iyo boti,.mfuate mpe last warning, akishindwa fukuza huyo hakufai...
 
Kill her financially. She will come back home

Bonge la point funga biashara zote ulizomfungulia. Usimsomeshe tena mpaka mtakapofunga ndoa kama ikitokea.

Kill her financially and academically

Mtoa riziki ni Mungu; na Mungu sio Athumani

Ila Una roho mbaya sana Bingwa Mara 4 kha!

Huna haja ya kufanya yote hayo funzadume inawezekana rizki yako imeishia hapo. Mwache aende upokee mwingine


Wanawake na wazazi wenye watoto wa kike tumewaelewa
 
Nimekuelewa chief
 
Nimekuelewa chief

Yupi hawezi kumuwekea sumu😅😅😅😅

☝️Usikosee kuchagua na baada ya kumchagua , fuata taratibu za kuishi nae sawasawa, na kubwa kabisa ishi nae kwa akili✌🤑😃😃

"Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba kwenu kusizuiliwe." 1 Petro 3:7​

 
Roho mt na ibilisi wanaingiaje tena hapo... vita ya mtu na mtu
Amua moja
Kupiga chini kwa faida yako au
Kubembeleza kwa faida yake
 
Wala mimi sina roho mbaya

mwenye roho ya kunguni ni huyo mwanamke asieridhika.

Dawa yake ni kukata mirija yote inayompa kibri!

mama zetu walitulia na wazee wetu si kwamba hawakuwa na uwezo wa kukimbia, no bali waliwekewa mazingira ya kutulia
 
Bado tu huamini kama analiwa.

Achana na kuoa.

Kasome UTAFUTE HELA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…