Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Hakika anakutisha.Mbona unanitisha mzee
Saratani ya kizazi hupata wanawake siyo wanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika anakutisha.Mbona unanitisha mzee
Nimefanya hyo culture hata kwenye list ya vipimo hapo nimeiweka lakini haikuonyesha chochoteWingi huo wa dawa ulizopewa unaonesha gonjwa lenyewe halisikii dawa limekuwa sugu. Aliyekupa hizo dawa anabahatisha tu hana uhakika. Je umefanya "culture and sensitivity" kuona dawa ipi sahihi kwa tatizo lako? Vinginevyo endelea kutwanga maji kwenye kinu utapata unga safi mwishoni!
Nipo makini Sana siingizi kwenye tundu nisilolielewa,Inabidi uongeze pia umakini maana haya mambo ni magumu sana
Yaan km tundu silielewi siingizi hata iweje[emoji2][emoji2] hata kama nilichogundua mwanamke anaweza akapata gonjwa la zinaa na akakaa nalo hata mwaka bila kujua
Maana yake ni usafi kwa mwanamke sio
Sawa mkuu, tatizo madokta wanatofautiana ukienda anakutibia tofauti labda uwe recommend kutoka hospital inayojulikanasio candidiasis kweli hiyo? kachome penadu chupa 5 ,kila baada ya wiki chupa 1 afu utumie azuma na ampiclox, NB HAKIKISHA MKE WAKO NA MICHEPUKO YAKO INATIBIWA.kuna jamaa nilimtibu kwa dawa hizi nayee ute ute ulikuwa unatoka na kichwa cha uume kuwasha washa
Ulichofanyiwa ni urine culture. Iwapo waliifanyia sensitivity test kuona mchanganyiko upi wa dawa unafaa basi utakuwa una tatizo la usugu wa dawa. Je unatibiwa wewe tu au pamoja na mwenzi wako? Nyote wawili lazima mpate matibabu ili kuzuia msiambukizane. Kujitibu peke yako bila kuwa na mwenzio yaweza kuendeleza tatizo hili.Nimefanya hyo culture hata kwenye list ya vipimo hapo nimeiweka lakini haikuonyesha chochote
Mwenzangu tumetibiwa wote kwa awamu mbili. Dozi ya siku kumi ikadunda na sindano za siku 5 pia hazikuleta matokeo. Dawa zote zinakupa nafuu Ila hauponiUlichofanyiwa ni urine culture. Iwapo waliifanyia sensitivity test kuona mchanganyiko upi wa dawa unafaa basi utakuwa una tatizo la usugu wa dawa. Je unatibiwa wewe tu au pamoja na mwenzi wako? Nyote wawili lazima mpate matibabu ili kuzuia msiambukizane. Kujitibu peke yako bila kuwa na mwenzio yaweza kuendeleza tatizo hili.
Usisahau ..KILA MKE WA MME NI/POTENTIALLY MALAYA WA MTU. naHaya ndio madhara ya kununua malaya
na bibie BabyCarekila siku unaruka majoka
Kapime HIV acha ujinga ,utakufaWakuu habari ya leo, kwa miezi kadhaa nimehangaika na ugonjwa ambao hapo chini nimeweka dalili ninazozipata, vipimo na dawa nilizotumia lakini bado sijapata suluhisho. Kama kuna mwenye uzoefu naomba msaada.
Dalili.
1.Maumivu kwenye mrija wa mkojo karibu na kwenye kichwa cha uume(hii ni kawaida bila kukojoa). wakati wa kukojoa mkojo unagawanyika na kutoka kama njia mbili na sisikii maumivu Ila mkojo wa mwisho ukiisha ndo unasikia maumivu yanaendelea na unakuwa Kama umechochea
2 .Maumivu ya korodani, na mishipa yake pamoja na ile inayoenda chini karibia na sehemu ya haja kubwa
3. Maumivu ya nyonga
4.maumivu ya kiuno(mara chache sana)
5. kutoka ute ute mweupe kwenye uume wakati wa haja kubwa
6. Unaamka asubuhi unakuta boxer imelowa kana kwamba uliota unafanya sex then uka ejaculate vitu Kama sperm lakini sio vipo kama kamasi fulani hivi na vinateleza. lakini katika hali ya kawaida sioni hvyo vitu vikitoka.
VIPIMO vyote nilivyopima vinaonyesha hamna chochote na dawa zote huwa zinanipa nafuu na wife pia ametumia. huwa nikipata nafuu nakaa Kama wiki hv Ila nikikutana na mwenzangu hali inarudi tena sasa sijajua tatizo n nn au dawa ninazopewa sio. kuna docta aliwahi niambia nimepata klamidia japo hakunipima na akanipa dawa lakini bado haikusaidia.
VIPIMO
1.Urinalysis
2.Ultrasound(kibofu,tezi dume,kongosho,figo,ini)
3.Urine Culture
4.Ultrasound (korodani)
5.VDRL
6.Full blood picture
7. Urinalysis + VDRL(twice)
8. Urinalysis+ Ultrasound (tezi dume&figo)
DAWA
1. Cipro+PCM siku 5
2. Amoxclav siku 5
3. Azithromycin siku 6
4. Gentamycin 160mg siku 5
5. Doxycycline+metrodinazole siku10,
cefixine kidonge kimoja tu
6. Ceftriaxone siku 5
7. Azithromycin siku 3
8. Ceftriaxone+getamycin (80mg) mara mbili kwa siku, kwa siku 4(sindano 16)
9. Tribulent PCM, siku 5
10. Ceftriaxone 2g+getamycin (once)+Cipro (7 days)+ ibuprofen