Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Kwa elimu hili ni jambo la kawaida. Wazungu wengi ni WAJINGA, kuanzia katika uandishi wa Historia, kufikia hitimisho ya mambo kadha wa kadha.
Hao wazungu unaowaita wajinga ndio wametengeneza simu unayoitumia hapa kuandika pumba na mashudu.

Teknolojia unayoitumia leo hii, imetoka kwa wazungu.

Halafu wewe zumbukuku wa huko Madongo kuinama unakuja kusema hapa wazungu ni wajinga.

You need to restore your brain to factory settings.
 

Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.

Unaposema mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote kisha unaandika hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, huu ni upungufu wa akili na unajipinga mwenyewe,. Hii kauli yenu huwa mnapenda kuirudia na inaonyesha huwa hamuitafakari mkaielewa, kwa ufupi unachokiandika hukielewei.

Ushaambiwa ni mjuzi wa yote, mwenye nguvu zote maana yake anafanya anavyo taka na haulizwi.

Moto umeonyesha uwepo wake sababu amefanga ukawepo na angetaka usiwepo pia usingekuwepo, sababu yeye ni Muweza wa yote.
 
Thibitisha uwepo wa Adamu na Hawa, Sio kuleta hadithi uchwara za kwenye maandiko ya kidini.

Jibu kwanza swali nililo kuuliza hapo awali.

Yakuwa ututhibitishie ya kuwa Mola hayupo na utuambie ilikuwaje sisi tukawepo.
 
Tunashukuru kwa tahadhari yako na ufafanuzi wako.
Ingawa imekaa kiimani zaidi maana dunia kwa ujumla wake imani zipo nyingi za kidini na zisizo za kidini.

Yote ya yote mwenyezi Mungu yupo bila ya shaka na yupo karibu nasi kuliko tunavyo dhani.
 

Tuliza akili na ujue ki ajadiliwa nini. Shida yenu mnajua ya kuwa mzungu anajua kila kitu. Hapa ndio kwenye nukta ya mzozo.

Ujinga naongelea hapa na ujinga juu ya haya mambo na kweli ni WAJINGA.

Kwahiyo usitake kufanya nyueusi iwe nyeupe.
 
Ha! Kumbe! Mungu atusamehe maana dhambi ni nyingi muno
 
Jibu kwanza swali nililo kuuliza hapo awali.

Yakuwa ututhibitishie ya kuwa Mola hayupo na utuambie ilikuwaje sisi tukawepo.
Nimekwambia binadamu tunazaliwa.

Binadamu hatujaumbwa.

Unataka nikuthibitishie mola hayupo wakati wewe unayedai yupo huna uthibitisho.
 
Tuliza akili na ujue ki ajadiliwa nini. Shida yenu mnajua ya kuwa mzungu anajua kila kitu. Hapa ndio kwenye nukta ya mzozo.

Ujinga naongelea hapa na ujinga juu ya haya mambo na kweli ni WAJINGA.

Kwahiyo usitake kufanya nyueusi iwe nyeupe.
Wewe unakipi unachojua?

Unakipi ulichofanya kuleta maendeleo kwenye hii dunia?

Serikali yako tu, inategemea mikopo na misaada ya hao wazungu.

Halafu wewe unakuja hapa kusema wazungu ni wajinga.

You need mental rehabilitation therapy.
 

Duh! Haya mambo haya. Mungu atusaidie.
 
Hizo ni editing , ishu ya Los Angeles haihusiani na MUNGU , ni kwamba Wana plan ya kujenga Los Angeles mpya ko waliwaambia wakaz wahuko waweke bima ya makazi mpya ila waliozingua , ingekuwa ni ishu ya MUNGU bas marekani nzima na Dunia nzima ingekula fire,
 
Kiranga unasemaje?!
 
Huwezi ukamdhihaki MUNGU centre of all creation,ukabaki salama
 
Huu moto ni janga kama majanga mengine. Ni kama ilivyotokea zamani karne ya 16 London kuungua eneo kubwa kwa moto mkubwa ambao haujawahi kuonekana.

Kumhusisha Mungu ni kumfanya aonekane katili sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Š
 
Waafrika hasa watanzania wanapenda sana kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Wana unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Mtu hajui chanzo halisi cha moto ni nini, Anakimbilia kuhusisha na imani yake.

Mtu hajui chanzo halisi cha moto ni nini, Anakimbilia kusema na kuhitimisha kwamba ni Mungu.

Halafu anatafuta watu wakumuunga mkono kwenye mawazo yake uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…