Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Kwa elimu hili ni jambo la kawaida. Wazungu wengi ni WAJINGA, kuanzia katika uandishi wa Historia, kufikia hitimisho ya mambo kadha wa kadha.
Hao wazungu unaowaita wajinga ndio wametengeneza simu unayoitumia hapa kuandika pumba na mashudu.

Teknolojia unayoitumia leo hii, imetoka kwa wazungu.

Halafu wewe zumbukuku wa huko Madongo kuinama unakuja kusema hapa wazungu ni wajinga.

You need to restore your brain to factory settings.
 
Mungu gani? Kusemasema tu "Mungu" bila ya kum define hakuna maana yoyote.

Kuhusu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote,Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, sembuse zote hizi.

Moto huu unaonesha Mungu huyo hayupo, hauoneshi Mungu huyo yupo.

Mungu muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.

Unaposema mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote kisha unaandika hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, huu ni upungufu wa akili na unajipinga mwenyewe,. Hii kauli yenu huwa mnapenda kuirudia na inaonyesha huwa hamuitafakari mkaielewa, kwa ufupi unachokiandika hukielewei.

Ushaambiwa ni mjuzi wa yote, mwenye nguvu zote maana yake anafanya anavyo taka na haulizwi.

Moto umeonyesha uwepo wake sababu amefanga ukawepo na angetaka usiwepo pia usingekuwepo, sababu yeye ni Muweza wa yote.
 
Thibitisha uwepo wa Adamu na Hawa, Sio kuleta hadithi uchwara za kwenye maandiko ya kidini.

Jibu kwanza swali nililo kuuliza hapo awali.

Yakuwa ututhibitishie ya kuwa Mola hayupo na utuambie ilikuwaje sisi tukawepo.
 
Tunashukuru kwa tahadhari yako na ufafanuzi wako.
Ingawa imekaa kiimani zaidi maana dunia kwa ujumla wake imani zipo nyingi za kidini na zisizo za kidini.

Yote ya yote mwenyezi Mungu yupo bila ya shaka na yupo karibu nasi kuliko tunavyo dhani.
 
Hao wazungu unaowaita wajinga ndio wametengeneza simu unayoitumia hapa kuandika pumba na mashudu.

Teknolojia unayoitumia leo hii, imetoka kwa wazungu.

Halafu wewe zumbukuku wa huko Madongo kuinama unakuja kusema hapa wazungu ni wajinga.

You need to restore your brain to factory settings.

Tuliza akili na ujue ki ajadiliwa nini. Shida yenu mnajua ya kuwa mzungu anajua kila kitu. Hapa ndio kwenye nukta ya mzozo.

Ujinga naongelea hapa na ujinga juu ya haya mambo na kweli ni WAJINGA.

Kwahiyo usitake kufanya nyueusi iwe nyeupe.
 
Ha! Kumbe! Mungu atusamehe maana dhambi ni nyingi muno
 
Jibu kwanza swali nililo kuuliza hapo awali.

Yakuwa ututhibitishie ya kuwa Mola hayupo na utuambie ilikuwaje sisi tukawepo.
Nimekwambia binadamu tunazaliwa.

Binadamu hatujaumbwa.

Unataka nikuthibitishie mola hayupo wakati wewe unayedai yupo huna uthibitisho.
 
Tuliza akili na ujue ki ajadiliwa nini. Shida yenu mnajua ya kuwa mzungu anajua kila kitu. Hapa ndio kwenye nukta ya mzozo.

Ujinga naongelea hapa na ujinga juu ya haya mambo na kweli ni WAJINGA.

Kwahiyo usitake kufanya nyueusi iwe nyeupe.
Wewe unakipi unachojua?

Unakipi ulichofanya kuleta maendeleo kwenye hii dunia?

Serikali yako tu, inategemea mikopo na misaada ya hao wazungu.

Halafu wewe unakuja hapa kusema wazungu ni wajinga.

You need mental rehabilitation therapy.
 
MATUKIO YA SIKU YA MWISHO

Chicago na Los Angeles

Matukio ambayo yangetukia hivi karibuni huko Chicago na miji mingine mikubwa pia yalipita mbele yangu. Uovu ulipoongezeka na uwezo wa kulinda wa Mungu mamlakani mamlakani na pepo za bodi na tufani. Majengo yaliharibiwa kwa moto na kutikiswa na matetemeko ya ardhi....

Muda fulani baada ya haya nilionyeshwa kwamba maono ya majengo huko Chicago na rasimu ya njia ya watu wetu kuzisimamisha, na kufunga wake, ilikua somo la kitu kwa watu wetu, niliona wasiwekeze kwa kiasi kikubwa mali zao katika mali. katika Chicago, au jiji lingine lolote, isipokuwa majaliwa ya Mungu yafungue njia kwa hakika na kuonyesha wazi wajibu wa kujenga au kununua inapobidi katika kutoa maelezo ya onyo. Tahadhari kama hiyo ilitolewa kuhusu ujenzi huko Los Angeles. Mara kwa mara nimeagizwa kwamba hatupaswi kuwekeza njia katika ujenzi wa majengo ya gharama kubwa katika miji-Mkusanyiko wa Paulson wa Ellen G. White Letters, 50 (1906).

MATUKIO YA SIKU YA MWISHO

Chicago na Los Angeles

Matukio ambayo yangetukia hivi karibuni huko Chicago na miji mingine mikubwa pia yalipita mbele yangu. Uovu ulipoongezeka na uwezo wa kulinda wa Mungu ulipoondolewa mamlakani na pepo za bodi na tufani. Majengo yaliharibiwa kwa moto na kutikiswa na matetemeko ya ardhi....

Muda fulani baada ya haya nilionyeshwa kwamba maono ya majengo huko Chicago na rasimu ya njia za watu wetu kuzisimamisha, na kufunga wake, ilikua somo la kitu kwa watu wetu, likiwaona wasiwekeze kwa kiasi kikubwa mali zao katika mali. katika Chicago, au jiji lingine lolote, isipokuwa majaliwa ya Mungu yafungue njia kwa hakika na kuonyesha wazi wajibu wa kujenga au kununua inapobidi katika kutoa maelezo ya onyo. Tahadhari kama hiyo ilitolewa kuhusu ujenzi huko Los Angeles. Mara kwa mara nimeagizwa kwamba hatupaswi kuwekeza njia katika ujenzi wa majengo ya gharama kubwa katika miji-Mkusanyiko wa Paulson wa Ellen G. White Letters, 50 (1906).
View attachment 3205478
Duh! Haya mambo haya. Mungu atusaidie.
 
Ilikuwa hivi:

Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,

Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.

Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,

Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani

Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia

Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia

Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,

Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,

Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,

BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Hizo ni editing , ishu ya Los Angeles haihusiani na MUNGU , ni kwamba Wana plan ya kujenga Los Angeles mpya ko waliwaambia wakaz wahuko waweke bima ya makazi mpya ila waliozingua , ingekuwa ni ishu ya MUNGU bas marekani nzima na Dunia nzima ingekula fire,
 
Kiranga unasemaje?!
 
Ilikuwa hivi:

Kulikuwa na event ya super stars[emoji93] ktk mji wa Los Angeles,

Huwezi ukamdhihaki MUNGU centre of all creation,ukabaki salama
 
Mkuu Acha kabisa Hii level ya Thinking ya hawa Members humu Jamvini inaogopesha sana, Kama kweli Mungu tunaemhubiri anakuwa Emotional driven Kiasi ichi basi Mungu huyo hana sifa kabisa Tunazompatia na Atakuwa wa Ovyo sana Kama anaangamiza Mamia ya watu na Mali zao kisa tu Kikundi cha wachache kilichomzihaki Basi Mungu huyo Ni waajabu sana sana
Huu moto ni janga kama majanga mengine. Ni kama ilivyotokea zamani karne ya 16 London kuungua eneo kubwa kwa moto mkubwa ambao haujawahi kuonekana.

Kumhusisha Mungu ni kumfanya aonekane katili sana.
 
Hizo ni editing , ishu ya Los Angeles haihusiani na MUNGU , ni kwamba Wana plan ya kujenga Los Angeles mpya ko waliwaambia wakaz wahuko waweke bima ya makazi mpya ila waliozingua , ingekuwa ni ishu ya MUNGU bas marekani nzima na Dunia nzima ingekula fire,
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
 
Waafrika hasa watanzania wanapenda sana kufanya logical fallacy ya non-sequitur.

Wana unganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

Mtu hajui chanzo halisi cha moto ni nini, Anakimbilia kuhusisha na imani yake.

Mtu hajui chanzo halisi cha moto ni nini, Anakimbilia kusema na kuhitimisha kwamba ni Mungu.

Halafu anatafuta watu wakumuunga mkono kwenye mawazo yake uchwara.
 
Back
Top Bottom