Nadhani tuupe muda wakati lakini hili jambo liko kiroho zaidiNi coincidental circumstances tu ndugu yangu Mashana. Lakini pia investigations bado zinaendelea kubaini chanzo halisi cha moto. Usije kuta kuna mlevi tu alitupa kichungi cha fegi porini moto ukashika.
Shukrani.Huna akili
huyo kenge mpaka leo anaamini ametokana na sokwe.Thibitisha hilo, na utuambie imekuwaje tukawa hivi tulivyo.
SawaaHawa sio wabongo wanaochoma masoko ili wajenge masoko
sawa hatukatai tunazaliwa hebu tuambie binadamu wa kwanza alitokana na nini au alitokea wapi na kama alizaliwa, alizaliwa na nani?Nimekwambia binadamu tunazaliwa.
Binadamu hatujaumbwa.
Unataka nikuthibitishie mola hayupo wakati wewe unayedai yupo huna uthibitisho.
Chochote utakachofanya wewe kama kina athari kwa jamii inayokuzunguka basi hilo ni tatizo iwe umetumwa na mchawi au Allah does not matter, what matters is the deed kwahio kwa jicho la jamii inayohusika the deed is what matters not the idea behind the deed (ukizingatia Imani ni nyingi na kila watu wana zao)Kwangu ni si rahisi sababu jambo la kupigana kwa ajili ya Allah ni ibada, kina masharti na nguzo, endapo viwili vikitimia na nikaamrishwa kufanya hivyo nitafanga ila sio kiholela holela.
Kwahio wewe hujui zuri au baya ? Binafsi So long as jambo lolote linaumiza wengine ni Baya na vice versa pia ni muumini wa Natural Justice, na hata hizi Imani zote zimekuwa na Amri tofauti tofauti ili kuhakikisha social harmony..., hazitofautiani sana;Wewe unajuaje kama jambo hili ni baya na hili ni suri ? Yaani kipimo chako ni nini ?
Nadhani nimekujibu hapo juu na hapa nakwambia tena hata bila kutumia hizi so called Amri za Mungu, binafsi lolote like ambalo linaweza lika cause harm kwa yoyote yule ni baya na vice versa.Kwa kipimo gani unachotumia wewe mpaka ukasema baya ni baya ? Tuambie hili, ili tuonyeshe ujinga wako ulipo.
Kwahio huyu Mungu wa wote amechagua wachache ndio wamjue ? Na ndio maana kwenye Qoute yangu ya mwanzo kabisa nimesema Mungu huyu mwenye Kisirani na kuadhibu hata wasio hatia wala sihitaji kumjua, na wala siwezi support hio barbaric behavior, lakini I know better kwamba kinachotokea ni natural disastersKingine unapo mjadili Mungu hakikisha unamjua sio kama mnavyofanya nyinyi kumjadili msiwe mjua, huu ni upumbavu na ujinga ulio pea na kukomaa kabisa.
Karibu kwenye mjadala, sasa.
Kwa hiyo Mungu anaamua kutoa collective punishment?Uwezo anao na hayo ameyafanya sana na anaendelea kuyafanya.
Anapoleta jambo kama adhabu huwa alichagui na hapo Kuna hekima zake.
Hao ambao hawana hatia kufa kwao kwenye hiyo adhabu ndio muda wao ulifika humo, lakini kwa wenye hatia wapo ambao waliona hayo maovu yakotendeka lakini wakayafumbia macho nao pia hubebwa na hiyo adhabu.
huyo kenge mpaka leo anaamini ametokana na sokwe.
JF wajinga ni wengi sana
Wamarekan wenyewe waliopo California wamesema hawajajua bado chanzo Cha huo moto,,ww unataka mtu wa uku tandahimba akuambie chanzo!!!!Mkuu sijaona mahali ulipoelezea chanzo cha moto either ni moto wa volkano, shoti ya umeme or mlipuko wa bomu
Jamaa bado anaamini alitokana na sokweWana matatizo ya AKILI.
Sio waafrika tunasafari ndefu sema unasafari ndefu maana inaonekana we ni tahira ambaye anamiliki makende tu,ambacho hukijui au hakijawahi kukutokea kausha,nyi ndo wale matahira tahira mnaojifanya ujuaji mwingi kumbe kichwani box ,nikuulize unaelimu juu ya maswala ya kiroho we bumundaWaafrika tuna safari ndefu mno kufikia hatua ya kuwa binadamu kamili. Kwamba ulikuwa unsikia sauti inakwambia iba mboga na kwaakili yako ukahisi ni sauti ya shetani!? Hiyo ni shida ya akili, nenda milembe ple
Waafrika tuna safari ndefu mno kufikia hatua ya kuwa binadamu kamili. Kwamba ulikuwa unsikia sauti inakwambia iba mboga na kwaakili yako ukahisi ni sauti ya shetani!? Hiyo ni shida ya akili, nenda milembe please.
JF wajinga ni wengi sana
Hakuna binadamu wa kwanza.sawa hatukatai tunazaliwa hebu tuambie binadamu wa kwanza alitokana na nini au alitokea wapi na kama alizaliwa, alizaliwa na nani?
Mungu pia hutumia watuHujasikia kwamba moto ulikuwa unasambazwa kwa kasi na "Santa Anna winds"? Hata kwenye videos nyingi cheche zinaonekana kiasi kwamba inasemekana ni moto walioutengeneza wenyewe
Nyie huwa mnabeba kila mnachoandikiwa humuNawewe ukiwemo