Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia


Hiki sio kipimo, bado hujajibu swali langu. Athari gani hasi au chanya ? Kuwa na imani nyingi sio hoja, hoja ukweli wapo nao kina nani ?

Akili iliyo salama hutaka kujua ukweli na kupatia. Bado hujajibu swali langu.

Hili kosa lingine, sio kila jambo linalo umiza wengine ni baya. Ndio maana nikataka uweke kipimo chako. Wangapi hawapendi mazuri na wanachukia ? Uzuri wa jambo haupimwi kwa watu wanalichukiliaje. Hiki sio kipimo sahihi.
Nadhani nimekujibu hapo juu na hapa nakwambia tena hata bila kutumia hizi so called Amri za Mungu, binafsi lolote like ambalo linaweza lika cause harm kwa yoyote yule ni baya na vice versa.

Hapo unakosea unapoweka lolote. Kila jambo linapimwa kwa uzani sahihi.

Amewachagua baada ya wao kutaka kumjua. Wewe leo unafikiri bila kufanya juhudi ungejua kuandika au kusoma ? Hili liko hivyo hivyo hata katika kumjua yeye Aliye tuumba. Ukitaka kumjua anakufanyia wepesi wa kumjua na usipotaka anakuacha uelekee unapotaka wewe, sababu ametupa uhuru kamili.

Mola wetu hana kisirani bali hapendi watu wajinga na wezembe.

Natural disasters inatokeaje ? From no where ? Unajua hayo yanayotokea yanahitaji muwezeshaji ?
 

Unapokosea wewe ni kumlinganisha Allah na wanadamu.
 
Hiki sio kipimo, bado hujajibu swali langu. Athari gani hasi au chanya ? Kuwa na imani nyingi sio hoja, hoja ukweli wapo nao kina nani ?

Akili iliyo salama hutaka kujua ukweli na kupatia. Bado hujajibu swali langu.
Aisee umeniuliza swali "Baya kwako ni nini" alafu nimekujibu lakini hutaki jibu langu ?
ili kosa lingine, sio kila jambo linalo umiza wengine ni baya. Ndio maana nikataka uweke kipimo chako. Wangapi hawapendi mazuri na wanachukia ? Uzuri wa jambo haupimwi kwa watu wanalichukiliaje. Hiki sio kipimo sahihi.
Kila jambo linaloumiza wengine ni baya as far as am concerned, moja ni baya kwa hao waliotendewa na mimi mtendaji nikijua / fahamu kwamba linawatendea ubaya hao wengine basi kwangu mimi mtendaji ni baya, kwahio wewe kama una defition zako wewe endelea nazo...
Hapo unakosea unapoweka lolote. Kila jambo linapimwa kwa uzani sahihi.
Anapima nani na wapi na sahihi kwa nani ? Iwapo umeniuliza mimi na mimi ndio nimekupa jibu sasa ukileta mizani yako kwamba ndio iwe yangu hapa tutakesha..., Ingawa mimi ni muumini wa to each his / her own LAKINI ninaelewa kwamba jambo linalomdhuru mtu aliyetendewa haliwezi kuwa jema kwake, na mimi ninayetenda hata kama litanifurahisha mimi haliwezi kuwa zuri sababu linamuumiza mwingine..., zaidi ya hapo ni justifications.
Sasa hapo umeanza kuelezea mambo kwa perception na imani zako.., na mimi ndio nimekwambia huyo mwenye visirani, visasi na kuangamiza hata wasio hatia kawngu mimi wala sihitaji wala kutaka kumjua na hao waliompa sifuri ingebidi apate kabisa minus na walikuwa right kutokutaka aje sababu according to wewe kwenda kwake ndio amepeleka maafa (sasa huoni hapo they were better off without him)?
Mola wetu hana kisirani bali hapendi watu wajinga na wezembe.
Wenu na nani ? Na unajua maana ya kisirani ? Reaction ya Hasira baada ya happenstance ambayo haimpendezi mtu / kitu ndio kisirani chenyewe hicho
Natural disasters inatokeaje ? From no where ? Unajua hayo yanayotokea yanahitaji muwezeshaji ?
Muwezeshaji kufanya nini ? Kwahio hata Mlima Kilimanjaro ambao upo dormant siku ukifutuka ni Mungu ndio atakuwa muwezeshaji wa kucheza na remote yake ?Au matetemeko yakitokea huwa anaamua kutingisha dunia ? Jaribu kujielimisha kwanza why these things which have been happening all along they continue to happen huchelewi kuwa kama watu wa zamani walivyokuwa wakiona kupatwa kwa jua wanadhani ni mwisho wa dunia au Mungu kakasirika
 
Yaani uwingi wa walioamini huu uzushi ( kuwa moto umesababishwa na hasira za Mungu) ndio unaeleza sababu kwanini watz wengi huwa wanatapeliwa kirahisi na qnet, d9, pamoja na mitume fake.
 

Unasemaje hakuna Mungu. Mshana kuna wapare wenzako wajinga wanajiita wachokozi. Nao wanapambania Miungu yenu kule ambayo Mungu mkuu aliiilaza chali.
Upareni muda sio mrefu nao watasema maji mmmmma maaana Mwenyezi Mungu yupo.
Pope Francis anauguza vidonda maana kila siku anaanguka. Nayer anajidai hakuna hell wala Mungu
 
Siku nitapita na bango la namna hiyo mitaa ya Magogoni Mungu afanye yake tumalize changamoto za hii nchi.
 
View attachment 3206928
NETPESA has a Ksh 100 joining fee. 💸 Earn over Ksh 2,000 daily by watching reels, videos,and clicking ads (up to Ksh 50/task). 🎥🧠📲 Get a Ksh 350 sign-up bonus, free financial books 📚, and forex signals 📈. Invite friends to earn up to Ksh 1,000 daily. 🤝💰 Plus, enjoy daily, weekly, and overall bonuses. 🎉 AVAILABLE FOR ALL AFRICAN COUNTY INCLUDING TANZANIA, UGANDA, BURUNDI KENYA AND OTHER.... JOIN NOW TO MAKE MONEY

View attachment 3206929

JOIN NOW TO MAKE MONEY
 
Unasemaje hakuna Mungu. Mshana kuna wapare wenzako wajinga wanajiita wachokozi. Nao wanapambania Miungu yenu kule ambayo Mungu mkuu aliiilaza chali.😢
 
Jamaa bado anaamini alitokana na sokwe
Hakuna binadamu aliyetokana na sokwe.

Hakuna binadamu aliyeumbwa na Mungu/Allah.

Binadamu Hawatokei wala Hawaumbwi.

Binadamu wanazaliwa kwa kuzaliana.

Hakuna binadamu aliyeumbwa na Mungu.

Hakuna binadamu aliyetokana na sokwe.

Una elewa hilo?
 
Kwa Upande mwingine mnamkosea sna Mungu ni kama mnapaka Sifa mbaya na Ukatili.

Neno hilo tu ndio awaharibie watu mali zao huku wengine hawahusiki na maneno hayo.

Kama kweli ni yeye, huyo Mungu ni mtu wa visasi sana na hawezi kupuuzia vitu vya mizaha tu .
 
Pia inaonekana huyo Mungu anaendeshwa kwa mihemko ya kihisia na hawezi ku control hasira zake.

Akisifiwa anavimba na kujaa misifa.

Akidhihakiwa anafura na kujaa mihasira.

Huyo Mungu anahitaji mental rehabilitation therapy maana hawezi ku control hisia zake..😄
 
MUNGU noma!!!,,,na bado!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…