Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

 
This ix obviously confused
 
Kiranga uliza swali ujibiwe na Mshana Jr
 
Kwa hivyo huyo Mungu ana endeshwa kwa emotions na feelings?

Akiona anadhihakiwa anapandisha hasira kulipiza kisasi kwa viumbe wake mwenyewe.

Akiona anatukuzwa na kuabudiwa ndio anafurahi.

Basi huyo Mungu hana tofauti na wanadamu maana ana endeshwa kwa mihemko ya kihisia.
 
Mungu ndiye Mkuu wa Vyote.
Mungu mkuu wa vyote, Kwa nini anapata mihemko ya hasira kwa viumbe wake mwenyewe alio waumba?

Kama huyo Mungu alikuwa anajua hapaswi kudhihakiwa, Kwa nini aliumba binadamu wenye uwezo wa kumdhihaki?

Kama huyo Mungu alikuwa anajua hapaswi kudhihakiwa, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumtukuza siku zote na wakati wote?

Mungu gani ana endeshwa kwa mihemko ya kihisia?

Akidhihakiwa anapandisha hasira, Akitukuzwa anafurahi.

Sasa huyo Mungu ana tofauti gani na binadamu?
 
Nabii wa wawasabato nae alishaona
Chicago na Los Angeles

Matukio ambayo yangetukia hivi karibuni huko Chicago na miji mingine mikubwa pia yalipita mbele yangu. Uovu ulipoongezeka na uwezo wa kulinda wa Mungu ulipoondolewa kulikuwa na pepo za uharibifu na tufani. Majengo yaliharibiwa kwa moto na kutikiswa na matetemeko ya ardhi....

Muda fulani baada ya haya nilionyeshwa kwamba maono ya majengo huko Chicago na rasimu ya njia za watu wetu kuzisimamisha, na uharibifu wake, ilikuwa somo la kitu kwa watu wetu, likiwaonya wasiwekeze kwa kiasi kikubwa mali zao katika mali. katika Chicago, au jiji lingine lolote, isipokuwa majaliwa ya Mungu yafungue njia kwa hakika na kuonyesha waziwazi wajibu wa kujenga au kununua inapobidi katika kutoa maelezo ya onyo. Tahadhari kama hiyo ilitolewa kuhusu ujenzi huko Los Angeles. Mara kwa mara nimeagizwa kwamba hatupaswi kuwekeza njia katika ujenzi wa majengo ya gharama kubwa katika miji-Mkusanyiko wa Paulson wa Ellen G. White Letters, 50 (1906).
 
Nilitamani Moto huo Uchome kila Kitu Hapo
Hizi ni chuki zako na mihemko yako binafsi kwa taifa la Marekani.

Halafu nyienyie ndio wa kwanza kupenda iPhones zao.

Na hata teknolojia unayoitumia sasa hivi imetoka kwa mmarekani Huyo huyo.

Kwanzia Google unayotumia, WhatsApp unayotumia, Instagram, Facebook, You tube n.k. Vyote ni vya mmarekani.

Ninyi pamoja na hizo imani zenu za Mungu, miungu, shetani, uchawi na ushirikina hakuna lolote mlilofanya kuleta maendeleo makubwa duniani.

Mmebaki na husda na chuki kwa wamarekani.
 
Hao washenzi wamelaaniwa aisee.

Ila upinde kwa namna fulani ni tatizo la akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…