Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Amina!Mungu unisamehe na kizazi changu daima na milele aaamin!
Lihimidiwe jina lako ewe Mungu Mwenyezi Muumba wa Mimi na uzao wangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina!Mungu unisamehe na kizazi changu daima na milele aaamin!
Lihimidiwe jina lako ewe Mungu Mwenyezi Muumba wa Mimi na uzao wangu!
Lazima itoke documentary ya seconds from disaster 📌📌📌📌Hili janga lazima watalitengenezea 'movie' siku zijazo.
Kwani hayajatokea?Mambo ya kufikirika
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
This ix obviously confusedMungu gani? Kusemasema tu "Mungu" bila ya kum define hakuna maana yoyote.
Kuhusu Mungu mjuzi wa yote, mwwnye uwezo wote na uoendo wote,Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, sembuse zote hizi.
Moto huu unaonesha Mungu huyo hayupo, hauoneshi Mungu huyo yupo.
Kiranga uliza swali ujibiwe na Mshana JrIlikuwa hivi:
Kulikuwa na event ya super stars🌟 ktk mji wa Los Angeles,
Wakiwa katikati ya sherehe wakaanzisha mchezo wa kupiga kura kwa watu wenye thamani ktk jamii yao,
Majina yaliyoorodheshwa ni 1.Cast&Crew(wacheza filamu wa Hollywood na washiriki)
2.thamani ya mama ,
3.Lopez
4.MUNGU.
Ktk matokeo ya uchaguzi wao matokeo yalikuwa hivi:
Cast&Crew= kura 11
Thamani ya mama=Kura 3
Lopez =Kura 1
MUNGU=walimpa kura 0,
Msimamizi wa uchaguzi akasema matokeo hayo hayashangazi kwani mji wao ni Godless town,
Walipotoka nje wakatengeneza bango kubwa lenye maandishi "God get out in this city"
kesho yake ndo mji ukaanza kulipuka,
Ukumbuke msitu wa Amazon ulioko Brazil ambao ndio msitu mkubwa zaidi duniani ulipoungua miaka 4 iliyopita ni Marekani ndiyo iliyosaidia kuuzima lkn huu wa kwao umewashinda.
Marekani ndiye baba wa technology ulimwenguni,ukizungumza Helocopter,ndege,kemikali na kila sayansi unaizungumzia Marekani
Sasa hivi wanafyeka mahekta ya misitu kwa kuyang'oa na kuchimba kimo kirefu kwenda chini ili moto ukifika usivuke mbele lakini kinachotokea ni kwamba kila wakichimba moto ukifika kwenye mtaro waliouwekea mpaka inatokea cheche moja inapaa angani inavuka mpaka inashukia ghorofa linaambukiza miti na ghorofa nyingine mji unaangamia
Mamia ya ndege na helcopter za zimamoto ziko angani Calfornia zikimwaga kemikali za kuzima moto lkn moto umegoma kuzimika, hakuna matumaini, majumba ya wasanii mabilionea wa Holly Wood yanaangamia
Holly Wood ndiko kuna makazi ya thamani kuliko miji yote ulimwenguni, kidunia Hollywood inatambuliwa kama makao makuu ya uzur wa dunia lkn saa hii panaelekea kuwa jangwa gumu, wafuatiliaji wa sinema za Hollywood mlioko humu jiji lenu/mazingira yenu pendwa ya Hollywood linaangamia,
Ule moto hautozimwa na technology,
Utazimwa na Toba ya makuhani,
Nimeyasema haya ili kutoa tahadhari tujiweke mbali na vikundi vyenye mizaha juu ya MUNGU MKUU, ukiona kiashiria chochote cha mzaha kwa BWANA kemea kwa nguvu, wasipokuelewa kata connection na hicho kikundi hata kama kina maslahi makubwa kiasi gani,
BWANA MUNGU hadhihakiwi!View attachment 3205068
Sio nguvu ya asili sema MunguHata isingekuwa mungu God Bado kuna nguvu asili imeamua jambo lile.
Mungu mkuu wa vyote, Kwa nini anapata mihemko ya hasira kwa viumbe wake mwenyewe alio waumba?Mungu ndiye Mkuu wa Vyote.
Chicago na Los AngelesNabii wa wawasabato nae alishaona
Hizi ni chuki zako na mihemko yako binafsi kwa taifa la Marekani.Nilitamani Moto huo Uchome kila Kitu Hapo
What is confused? How?This ix obviously confused
Mara ngapi?
Twakupa muda kwasasaWhat is confused? How?
Kwa mara nyingineMara ngapi?