Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Kwa mara nyingine
Mungu gani? Kusemasema tu "Mungu" bila ya kum define hakuna maana yoyote.

Kuhusu Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote,Mungu huyo, kwa sifa zake hizo, hatakiwi kuunguza nyumba hata moja, sembuse zote hizi.

Moto huu unaonesha Mungu huyo hayupo, hauoneshi Mungu huyo yupo.
 

Pamoja na kwamba wanaabudu shetani lakini hawakujua kwamba Mungu aliyewaumba ndo anasababisha wapumue
 
Aya bro Mshana Jr thibitisha hoja Yako
 
Hii Thinking ya Mshana ni ya Ovyo sana, Hata members wengi wanaochangia Pia nashaka na Uwezo wao wa Kufikiria
Watu wanajibu kutokana na imani zao za kidini wala hawafikirii na kujibu kwa logic na reasoning.

Halafu watu hawahawa ndio wana amini Mungu ni roho.

Sasa hiyo roho ya Mungu inaendeshwa kwa mihemko ya kihisia kama binadamu.

Huyo Mungu akidhihakiwa anapandisha hasira kama binadamu. Halafu analipiza kisasi.

Halafu tena Mungu huyohuyo Akitukuzwa anafurahi kama binadamu...πŸ˜„πŸ˜„

Inaonekana huyo Mungu anapenda kiki na misifa ya kutukuzwa na kuogopwa kama viongozi wa serikali.
 
You sound stupid
 
That comment has translated ur brain the way yo think

U are distracted.
You are making a claim without valid evidence presented in a logical manner to substantiate it.

At this point, it sounds like you see sonething you don't like in what I write and lazily brandish an ad hominem attack, a logical fallacy.

An ad hom8nem attack happens when one does nit address tge points raised, but focuses in attacking the oerson raising the points.

Discuss the points I raised, nit me.

An all knowing, all loving and all capabke God would never burn even one house. Such a Gid would nit allow any house to burn, let alone so many.

Build a logically coherent case against that argument, if you even know what a logically coherent case is.
 

Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…