Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Kwahiyo mm nakuzaa huku nakimbia 🀣🀣🀣
Karibu.. ..
Wapi ww chamdeko una miaka mingapi kwani tuanzie hapo kwanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Unajua navyokupendaga lkn ulivyotulia πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ€­πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Wapi ww chamdeko una miaka mingapi kwani tuanzie hapo kwanza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Unajua navyokupendaga lkn ulivyotulia πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ€­πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
Umeona kaziiii hiyo.... 🀣🀣🀣 unaanza kutamani mama zako
 
Umeona kaziiii hiyo.... 🀣🀣🀣 unaanza kutamani mama zako
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Samahani lkn sikujua kama unaweza kunizaaa

Si hizi fake id zinaficha mengi ☺️☺️☺️☺️☺️. Ila nakutaniaga tu usi mind hivyo

Mamiiiii πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬πŸ˜¬
 
Usijalii...😊😊😊
 
Kuna vingi bado hujavijua mkuu,vingine utavijua mwakani
 
Karibu sana ila kikubwa humu ufuate masharti ya waanzilishi hata masharti tu ya kawaida mfano kumtukana mtu kumshushia hadhi awe kiongozi au mtu wa kawaida.
Usije fanya hivyo kwa kuona ni kificho sana hutajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…