Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Ninajuta kwanini nilichelewa kujiunga JamiiForums nimekosa vingi sana

Umeona kaziiii hiyo.... 🤣🤣🤣 unaanza kutamani mama zako
😅😅😅😅😅😅 Samahani lkn sikujua kama unaweza kunizaaa

Si hizi fake id zinaficha mengi ☺️☺️☺️☺️☺️. Ila nakutaniaga tu usi mind hivyo

Mamiiiii 🙂🙂😬😬😬😬😬😬😬
 
Kuna vingi bado hujavijua mkuu,vingine utavijua mwakani
 
Karibu sana ila kikubwa humu ufuate masharti ya waanzilishi hata masharti tu ya kawaida mfano kumtukana mtu kumshushia hadhi awe kiongozi au mtu wa kawaida.
Usije fanya hivyo kwa kuona ni kificho sana hutajulikana
 
Back
Top Bottom