MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
Asikutongoze tu mama ake mana hawachelewi hawa vijana.Amina[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asikutongoze tu mama ake mana hawachelewi hawa vijana.Amina[emoji120]
Kwahiyo mm nakuzaa huku nakimbia 🤣🤣🤣Duuh 2007 nilikuwa na miaka 4 longtime sana
Umeona kaziiii hiyo.... 🤣🤣🤣 unaanza kutamani mama zakoWapi ww chamdeko una miaka mingapi kwani tuanzie hapo kwanza 😅😅😅😅
😆😆😆😆 Unajua navyokupendaga lkn ulivyotulia 😬😬😬🤭🤗🤗🤗🤗
Usijalii...😊😊😊😅😅😅😅😅😅 Samahani lkn sikujua kama unaweza kunizaaa
Si hizi fake id zinaficha mengi ☺️☺️☺️☺️☺️. Ila nakutaniaga tu usi mind hivyo
Mamiiiii 🙂🙂😬😬😬😬😬😬😬
Mkongwe mwenzangu,tangu enzi za Jambo forum upoo!!!Karibu sana
Mimi ni sebuleni tangu mwaka 2007 nilipojiunga baada ya kuisoma tangu ulipoanza 2006. Ila kwa mida najipangia sio 24/7.
Sijambo...Mjukuu wangu hujambo?
Usingizi umegoma ama? 😳
Mtandao umebaki makombo,nyama zote zilishaliwa huko nyumaHujachelewa ndo kwanza kunakucha
🤣🤣🤣🤣
Umeamua kunizeesha 🙄 wakati sijazeeka hata sijakaribia 😅
kabisa aisee.Kweli mkuuu yaani huu mtandao nashangaa ni mtamu kuliko hata ig huchoki yaani asee