Ninampenda ila tabia zake zinanitia hofu

Tumekula nae bata juzi Idd hapa Kigamboni, pole mkuu...njoo DM, uje kigamboni kumuona Mume mwenzako.
 
Daaaahh kuna mahali niliwahi ona post inasena WANAUME WAMEBAKI WACHACHE SANAAAA... sasa ndo naiamin hii kauli hivi kweli mwanaume unaomba ushaur kwa jambo lililo uchi namna hii?? Pole mkuu
 
Tafuta size yako, unataka demu mkali huna pesa? Tafuta pesa kijana.
 
Kama unaweza kuishi na kahaba endelea mwisho wake mbaya
 
Hapo Mkuu Dem kajitanabaisha wazi kuwa bila pesa mambo hayaendi, na sasa hivi inaonekana mambo hayajakunyookea...

Nakushauri, Jaribu kuziondoa hisia ulizonazo kwake maana mwenzio katanguliza pesa kuliko hisia kama utaendelea kumpenda ni at your own risk!

Ungana nae, Mpigeni pesa babu hizo pesa zikusaidie maisha yaenda ila jua wazi Mwanamke hapo huna, muone kama Business Patner tu na si vinginevyo.
 
Km alimwagiwa mbegu maana yake walipiga tupu,na Wewe unakuwa unakula makombo ya Babu[emoji23][emoji23]. Anyway kizuri kula na wenzako.
Inauma sana aisee, ukute kibabu kinaboost kwanza na Viagra ndio kiingie ulingoli. Hahahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…