MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Kwahiyo mpemba anageuka kuwa Mtanzania halisi pale anapotaka manufaa TanganyikaNi Upumbavu kabisa kuamini mzanaki ni Mtanzania zaidi kuliko mpemba..-Julius Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mpemba anageuka kuwa Mtanzania halisi pale anapotaka manufaa TanganyikaNi Upumbavu kabisa kuamini mzanaki ni Mtanzania zaidi kuliko mpemba..-Julius Nyerere
Jamani tumbo! Uchawa! Uteuzi!Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
Ni kweli kwasababu Zanzibar ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani ambao unawahusu Wazanzibari pekee!.Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania upande wa Tanganyika haruhusiwi kupiga kura ya Rais wa Zanzibar.
Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania upande wa Tanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar
Ni kweli, JMT ni nchi moja na uraia wa JMT ni uraia mmoja tuu ambao raia wote wa JMT wana haki sawa ndani ya JMT. Ila kwa upande wa Zanzibar, haki hizo ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee!. Kila Mzanzibari, ni Mtanzania na ana haki zote za Utanzania, ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Hivyo Watanzania wenye haki Zanzibar, ni Watanzania Wazanzibari Wakaazi pekee!.Sio kweli kwamba Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana haki sawa pande zote.
No sijui, naomba nielimishe.Hivi unajua Kwa nini kwenye The Articles of Union ya Muungano kulikuwa na mambo ya specifically ya Muungano tu ?
You are wrong, kila Mzanzibari ni Mtanzania mwenye haki zote za Utanzania bila ubaguzi wowote, ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari.Si sawa Kwa Mzanzibar kushiriki kwenye suala ambalo sio la Muungano hata kule bungeni wabunge wangekuwa wanachangia kwenye mambo yao makhususi tu kama ni suala la Muungano wajadili wote na kama suala sio la Muungano kila upande ujadili kivyake wasiohusika watolewe
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.
Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu
"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.
Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka Tanzania bara kushiriki iwe kwa mawazo au kwa vitendo katika masuala ya uwekezaji huko visiwani zanzibar (haiwezekaniki)
Hii ni kwakuwa wazanzibari wameweka usimamizi mzuri kwenye mambo yasiyo ya muungano.
Je, inakuweje kwa upande wetu
Mzanzibari akawa kinara kwenye maamuzi ya mambo yasiyo ya muungano?
Je, hili ni jambo lisilo na ulakini mbele ya sheria?
Habari za asubuhi mkuu, swali lako Pascal Mayalla amelijibu vizuri sana katika changizo number 4.Hujanielewa. Jambo ambalo sio la kimuungano mfano ardhi unamuweka waziri mzanzibari kweli? Hilo linawezekana wakati scope of operations itakuwa ni Tanzania bara?
Ni hivi Tanganyika inatawali na nchi ya Zanzibar. Teuzi zote muhimu, wizara zote muhimu Rais ameweka watu wake sio kwa ajili ya maslahi ya Tangangika. Maslahi ya genge lake.Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.
Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu
"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.
Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka Tanzania bara kushiriki iwe kwa mawazo au kwa vitendo katika masuala ya uwekezaji huko visiwani zanzibar (haiwezekaniki)
Hii ni kwakuwa wazanzibari wameweka usimamizi mzuri kwenye mambo yasiyo ya muungano.
Je, inakuweje kwa upande wetu
Mzanzibari akawa kinara kwenye maamuzi ya mambo yasiyo ya muungano?
Je, hili ni jambo lisilo na ulakini mbele ya sheria?
AminaaUmechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
Vipi kwenye mapato yatokanayo na rasimali za Tanzania bara (km uchimbaji madini au uwekezaji bandarini, mjadala unaoendelea) ni ya JMT au ya Tanzania bara?Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
Tanganyika iko wapi?Ni hivi Tanganyika inatawali na nchi ya Zanzibar. Teuzi zote muhimu, wizara zote muhimu Rais ameweka watu wake sio kwa ajili ya maslahi ya Tangangika. Maslahi ya genge lake.
*Yeye Rais alisaini mkataba wa DP World , kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia*alitoa wapi hayo Mamlaka?Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.
Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu
"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.
Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka Tanzania bara kushiriki iwe kwa mawazo au kwa vitendo katika masuala ya uwekezaji huko visiwani zanzibar (haiwezekaniki)
Hii ni kwakuwa wazanzibari wameweka usimamizi mzuri kwenye mambo yasiyo ya muungano.
Je, inakuweje kwa upande wetu
Mzanzibari akawa kinara kwenye maamuzi ya mambo yasiyo ya muungano?
Je, hili ni jambo lisilo na ulakini mbele ya sheria?
Huu muungano unamnyima haki mtanganyikaHabari za asubuhi mkuu, swali lako Pascal Mayalla amelijibu vizuri sana katika changizo number 4.
Narejea kuwaomba WanaCCM kuishauri Serikali yao ipitie upya mkataba wa ushirikiano (IGA) wa kuwekeza kwenye bandari na DPW. Mijadala ya kuupinga na nguvu inayotumika na Serikali kuutetea, kunaibua dalili za kuvunjika kwa mwungano. Na inapelekea dai la Katiba mpya kuwa na nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa na inavyotegemewaHata Samia urais wake unapaswa ukatafutiwe uhalali mahakamani. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampasa awe anatokea upande wa bara, kwani Zanzibar tayari wanaye Rais. Isipofanyika hivyo, kuna hatari kubwa ya maslahi ya Tanganyika kuhujumiwa.
Kwa mfano aje atokee Rais dikteta mwenye asili ya visiwani.. akiamua kuugawa mkoa wa Dar es Salaam kuwa sehemu ya Zanzibar ni nani atamzuia?
Tunaposoma katiba tujaribu kuangalia na yale mambo ambayo hayakuandikwa lakini yanaonekana kwa uwazi by implication.
Suluhisho ni serikali moja hako ka kijiji ka bahari Kawe tarafa tu ya wilaya ya kigamboni.Suruhisho ni kua na serikali tatu ili Kila mmoja awe na maamuzi kwenye Mali zake, sio kama hivi ambavyo anaweza akatoka mtu kule akaja huku akafanya upuuzi wake kwa kigezo cha muungano, kama haiwezekani basi huo muungano uvunjike tuu, kwa sababu ulikua ni muungano wa Nyerere na karume
Pascal nisaidie kufahamu kwa nini mtanzani wa kutoka bara yaani mimi na wewe, hatuna haki ya kugombea nafasi za juu za uongozi huko zanzibar wakati wenzetu wa zanzibar wana haki kugombea na kuongoza huku bara? Sasa ukiwa kama nguli kwenye jukwaa na kwa afya ya muungano wetu uendelee kudumu kwa muda mrefu huoni kama hili halijakaa vizuri?Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
Kifupi hana uhalali kusimamia makubaliano ya Tanganyika (Tanzania bara)Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.
Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu
"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.
Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka Tanzania bara kushiriki iwe kwa mawazo au kwa vitendo katika masuala ya uwekezaji huko visiwani zanzibar (haiwezekaniki)
Hii ni kwakuwa wazanzibari wameweka usimamizi mzuri kwenye mambo yasiyo ya muungano.
Je, inakuweje kwa upande wetu
Mzanzibari akawa kinara kweny Kifue maamuzi ya mambo yasiyo ya muungano?
Je, hili ni jambo lisilo na ulakini mbele ya sheria?
Wee umejishushia heshima yako uliyojiwekeeaaNi Upumbavu kabisa kuamini mzanaki ni Mtanzania zaidi kuliko mpemba..-Julius Nyerere