bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Mfumo wenyewe wa Muungano ndio umefanya hivo TANGANYIKA Wameivalisha koti la muungano serikali ya Muungano ndio hiyo hiyo serikali ya Tanganyika tatizo limeazia hapoKwahiyo mambo ya Tanganyika hayajulikani kwa uwazi! si ndio!