Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

Kwahiyo mambo ya Tanganyika hayajulikani kwa uwazi! si ndio!
Mfumo wenyewe wa Muungano ndio umefanya hivo TANGANYIKA Wameivalisha koti la muungano serikali ya Muungano ndio hiyo hiyo serikali ya Tanganyika tatizo limeazia hapo
 
CCM imeanza kuuvunja muungano baada ya kurusu Zanzibar ijitungie sheria zake za ajabu
Sio kweli tatizo ni Tanganyika wameivalisha koti la muungano serikali ya Tanganyika ndio hiyo hiyo serikali ya Muungano
 
Back
Top Bottom