Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.

Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
katiba ya muungano imeeleza vizuri mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, Tanganyika imemezwa Moja kwa moja na Tanzania ila kuhusu mambo yasiyo ya muungano wizara husika 8nab8di ziongozwe na watanganyika.
Wizara ya afya, viwanda, utalii na vitu vingine visivyo vya muungano kama tamisemi b\na wizara ya elimu inabidi mawaziri wawe kutoka Tanganyika. ila kwa kuendesha nchi kimazoea na rais kuwa juu ya katiba wamekuwa wanafanya mambo kimazoea ndio ,maana Kuna kipindi Mwinyi mtoto alikuwa waziri wa afya labda kwa sababu kipindi hicho alikuwa mbunge wa mkuranga hata Shaka kuteuliwa mkuu wa wilaya ni makosa. mtoa mada ana hoja ya msingi kama uwekezaji soon mambo ya muungano.
 
Ila katiba ipo kimya kuhusu kiiongozi wa,Tanganyika na rasimali za Tqnganyika kama mbuga za wanyama.

Zanzibar ina katiba yao. Katiba mpya ni muhimu.
 
hii katiba iliyopo hawaiheshimu mfano Zanzibar walivyoondoa swala la mafuta na gesi kutokuwa la muungano, maamuzi yalipitishwa na Baraza la wawakilishi pekee wakati katiba inasema zinatakiwa theruthi mbili za Baraza la wawakilishi na bunge la jamhuri ya muungano.
Cha ajabu rasimu ya warioba hawakuiwekea Kinga katiba Bado hawakuweka kipengele Cha kumwadhibu rais akivunja katiba.
 
Issue ya hii IGA wala sio ngumu kivile ukiwa na wazalendo unabadilisha dakika sifuri kuwa mkataba makini wenye tija kwa Watanganyika.

Mkuu katiba ndio msingi wa nchi inavyoendeshwa.

Katiba ya miaka 60 haina tija ĺeo, haiendi na wakati. Katiba inabidi kurekebishwa kila miaka 15 hivi iende na wakati na matakwa ya watu wanaoishi.

Katiba yetu inakidhi matakwa wakati wa Nyerere na Karume sio leo.
 
katiba ya muungano imeeleza vizuri mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, Tanganyika imemezwa Moja kwa moja na Tanzania ila kuhusu mambo yasiyo ya muungano wizara husika 8nab8di ziongozwe na watanganyika.
Wizara ya afya, viwanda, utalii na vitu vingine visivyo vya muungano kama tamisemi b\na wizara ya elimu inabidi mawaziri wawe kutoka Tanganyika. ila kwa kuendesha nchi kimazoea na rais kuwa juu ya katiba wamekuwa wanafanya mambo kimazoea ndio ,maana Kuna kipindi Mwinyi mtoto alikuwa waziri wa afya labda kwa sababu kipindi hicho alikuwa mbunge wa mkuranga hata Shaka kuteuliwa mkuu wa wilaya ni makosa. mtoa mada ana hoja ya msingi kama uwekezaji soon mambo ya muungano.
Mkuu Rodi, rodrick alexander , unahitaji elimu ya uraia.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
P
 
Mkuu mpe hio elimu. Nyie watu wa kitengo mna maneno ya shombo.
Japo mimi sio mtu wa kitengo.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
P
 
Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.

Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
Chawa katika ubora wako, na vipi Mbara anaweza kuwa Raisi upande wa Zanzibar?
 
Japo mimi sio mtu wa kitengo.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
P
Mkuu Pascal Mayalla kuna nchi ya Zanzibar kisheria, hakuna Tanganyika. Watu wote wa Zanzibar wana haki sawa Tanganyika. Watanganyika hawana haki za kimsingi Zanzibar kama kuwa kiongozi, kumiliki ardhi.

Unaona ni sawa? UK ni nchi nne Nothern Ireland, Scotland, Wales na England. Ila unapewa fursa zote popote kwenye UK.Infact they encourage you to move to Scotland, Wales, Nothern Ireland.
 
Mkuu Rodi, rodrick alexander , unahitaji elimu ya uraia.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
P
sipingani na wewe kuhusu uraia, hoja yangu imejikita kwenye mambo ya muungano na yasiyo ya muungano.
 
Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.

Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
Kuna baadhi ya haki msukuma aliyezaliwa mwanza hawezi kupata kule Zanzibar
 
Japo mimi sio mtu wa kitengo.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
P
Maslahi ya Tanganyika tuna kiongozi gani? Loliondo mmeuza, imesaidia vipi taifa kuwaondoa wamasaia wamekuwa pale miaka zaidi ya 10,000.
 
Nimefuatilia mjadala ulioandaliwa na serikali leo.

Msemaji mmoja mwenye mlengo wa kiserikali alisema na naomba nimnukuu

"Kasomeni katiba masuala ya viwanda na uwekezaji sio miongoni mwa mambo ya muungano" mwisho wa kumnukuu.

Kauli hii inaonyesha dhahili ilivyo ngumu kwa mmatumbi kutoka Tanzania bara kushiriki iwe kwa mawazo au kwa vitendo katika masuala ya uwekezaji huko visiwani zanzibar (haiwezekaniki)

Hii ni kwakuwa wazanzibari wameweka usimamizi mzuri kwenye mambo yasiyo ya muungano.

Je, inakuweje kwa upande wetu

Mzanzibari akawa kinara kwenye maamuzi ya mambo yasiyo ya muungano?

Je, hili ni jambo lisilo na ulakini mbele ya sheria?
Mbalawa ni Mzenj,na kila mzenj ni mtanzania,lakini sio Mtanganyika sio mzenj,kwa kuwa ni mtz,anayoyahaki ya kushiriki kwenye bandari ya nchi yake
 
Naendelea kusisitiza, Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Raia wote wana haki sawa ndani ya JMT.
P
Unakosea hatuna haki sawa Zanzibar.

Unajitoa ufahamu? Mtanganyika ana haki gani Zanzibar kulinganisha na haki za Wazanbari Tanganyika?
 
Japo mimi sio mtu wa kitengo.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
P
Mkuu unachosema ni sehemu tu ya jibu kubwa na ni majibu hayo ya mkato ndiyo yanaleta tatizo

Ni kweli, kwa kuangalia Uraia wa Tanzania ni mmoja. Swali la kujiuliza je muundo wa nchi unatoa nafasi hiyo?
Je muundo wa nchi uliVyo unajenga hoja ya Uraia wa nchi moja?

Kama Raia wa sehemu moja ana haki sehemu nyingine, je, hivyo ndivyo ilivyo?

Hao unaoita wajinga ni kwasababu tu unachukua mstari mmoja, unashindwa kuangalia ujinga wao upo wapi.

Nadhani mimi ni mmoja wa hao Wajinga, naomba tuwe na mjadala unisaidie kwa elimu. Nitarajea baada ya muda

JokaKuu
 
Back
Top Bottom