rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
katiba ya muungano imeeleza vizuri mambo ya muungano na yasiyo ya muungano, Tanganyika imemezwa Moja kwa moja na Tanzania ila kuhusu mambo yasiyo ya muungano wizara husika 8nab8di ziongozwe na watanganyika.Yes, ni halali kabisa na anao uwezo wote!.
Kwenye issues za uraia kuna ujinga mwingi na wajinga wengi ambao ni kwa ujinga tuu, hawajui kuwa Tanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa JMT. Kwenye uraia, hakuna Mtanganyika wala Mzanzibari, kuna Mtanzania tuu, na kila Mtanzania ana haki zote za Utanzania.
Namna pekee ya kuondoa ujinga huu ni elimu ya uraia.
p
Wizara ya afya, viwanda, utalii na vitu vingine visivyo vya muungano kama tamisemi b\na wizara ya elimu inabidi mawaziri wawe kutoka Tanganyika. ila kwa kuendesha nchi kimazoea na rais kuwa juu ya katiba wamekuwa wanafanya mambo kimazoea ndio ,maana Kuna kipindi Mwinyi mtoto alikuwa waziri wa afya labda kwa sababu kipindi hicho alikuwa mbunge wa mkuranga hata Shaka kuteuliwa mkuu wa wilaya ni makosa. mtoa mada ana hoja ya msingi kama uwekezaji soon mambo ya muungano.