Ninaomba nijibiwe, Waziri Mbarawa anao uhalali wa kushiriki maamuzi yanayoihusu bandari? (Kisheria)

Jamani tumbo! Uchawa! Uteuzi!
 
Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania upande wa Tanganyika haruhusiwi kupiga kura ya Rais wa Zanzibar.
Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania upande wa Tanganyika haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar
Ni kweli kwasababu Zanzibar ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani ambao unawahusu Wazanzibari pekee!.
Sio kweli kwamba Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana haki sawa pande zote.
Ni kweli, JMT ni nchi moja na uraia wa JMT ni uraia mmoja tuu ambao raia wote wa JMT wana haki sawa ndani ya JMT. Ila kwa upande wa Zanzibar, haki hizo ni kwa Wanzanzibari wakaazi pekee!. Kila Mzanzibari, ni Mtanzania na ana haki zote za Utanzania, ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari. Hivyo Watanzania wenye haki Zanzibar, ni Watanzania Wazanzibari Wakaazi pekee!.
Hivi unajua Kwa nini kwenye The Articles of Union ya Muungano kulikuwa na mambo ya specifically ya Muungano tu ?
No sijui, naomba nielimishe.
You are wrong, kila Mzanzibari ni Mtanzania mwenye haki zote za Utanzania bila ubaguzi wowote, ila sio kila Mtanzania ni Mzanzibari.
P
 
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.
 
Wazanzibar wote machoko na wapumbavu na ni mambwa hayana akili kutuzidi sisi the mwambaz wa Tanganyika na kwenye hili tutawanyoosha hao ngedere
 
Ni hivi Tanganyika inatawali na nchi ya Zanzibar. Teuzi zote muhimu, wizara zote muhimu Rais ameweka watu wake sio kwa ajili ya maslahi ya Tangangika. Maslahi ya genge lake.
 
Vipi kwenye mapato yatokanayo na rasimali za Tanzania bara (km uchimbaji madini au uwekezaji bandarini, mjadala unaoendelea) ni ya JMT au ya Tanzania bara?
 
Ni hivi Tanganyika inatawali na nchi ya Zanzibar. Teuzi zote muhimu, wizara zote muhimu Rais ameweka watu wake sio kwa ajili ya maslahi ya Tangangika. Maslahi ya genge lake.
Tanganyika iko wapi?
 
*Yeye Rais alisaini mkataba wa DP World , kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia*alitoa wapi hayo Mamlaka?

Nina wasiwasi na watu wa visiwani ni wavivu kusoma vitu vingi, kufikiria, kutafakari na kungamua kwa haraka .

Mfano : SAA100,Mbarawa, yule wa NECTA.
 
Mwambieni mbowe ajitahidi sana, chadema haiwezi kutawaala bila Zanzibar, na wachaga kule ndiyo hivyo tena.
 
Narejea kuwaomba WanaCCM kuishauri Serikali yao ipitie upya mkataba wa ushirikiano (IGA) wa kuwekeza kwenye bandari na DPW. Mijadala ya kuupinga na nguvu inayotumika na Serikali kuutetea, kunaibua dalili za kuvunjika kwa mwungano. Na inapelekea dai la Katiba mpya kuwa na nguvu zaidi kuliko ilivyokuwa na inavyotegemewa
 
Suluhisho ni serikali moja hako ka kijiji ka bahari Kawe tarafa tu ya wilaya ya kigamboni.
 
Pascal nisaidie kufahamu kwa nini mtanzani wa kutoka bara yaani mimi na wewe, hatuna haki ya kugombea nafasi za juu za uongozi huko zanzibar wakati wenzetu wa zanzibar wana haki kugombea na kuongoza huku bara? Sasa ukiwa kama nguli kwenye jukwaa na kwa afya ya muungano wetu uendelee kudumu kwa muda mrefu huoni kama hili halijakaa vizuri?
 
Ÿ
Kifupi hana uhalali kusimamia makubaliano ya Tanganyika (Tanzania bara)
. Rais wa sasa ni urithi hajagombea chochote, hana ridhaa ya Watanganyika popote. Anachagua mawazili wa hovyo.
 
Kwahiyo unaamini kuna kundi limekaa na kupanga mikakati ya kuharibu je, nikweli umepitia Katiba ukaona hakuna utaratibu uliofuatwa?

Tuondokane na chuki bila justification Wengi tumeanza kuelewa kwasababu jambo hili ni geni huwezi kuamka ukawa unaelewa mambo yote lazima ujipe muda wa kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…