milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapiga dili ni wengi sana haiwezekani hadi ina kamlika umeme haujafika ni aibu kubwa sana na kuna baadhi ya vitu nimeona vimekaa kipagji tu mfano sanduku la maoni wameshindwa kuweka la kisasa na maandishi wameandika ovyo kabisa kama sio ya wasomi tuMaji hapo Kuna Kila dalili ni changamoto!
Waoteshe miti mingi!
Nyumba za watumishi na walimu hakuna 🥺
Umeme hakuna😳
Wanamuaibisha Samia100%