Ninashauri Barabara ya Lami iwekwe kuelekea eneo lililojengwa shule hii! Ni aibu kubwa sana

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Picha nimeweka hapa!
 

Attachments

  • VID-20250114-WA0021.mp4
    18.4 MB
Nakubaliana nawewe. Pia maji yawe kwa wingi zaidi kuboresha mazingira maeneo hayo kuna ukame sana bila miundombinu ya maji itakuwa changamoto sana
 
Maji hapo Kuna Kila dalili ni changamoto!

Waoteshe miti mingi!

Nyumba za watumishi na walimu hakuna 🥺

Umeme hakuna😳

Wanamuaibisha Samia100%
 

Attachments

  • IMG-20250114-WA0006.jpg
    62.9 KB · Views: 1
Maji hapo Kuna Kila dalili ni changamoto!

Waoteshe miti mingi!

Nyumba za watumishi na walimu hakuna 🥺

Umeme hakuna😳

Wanamuaibisha Samia100%
Wapiga dili ni wengi sana haiwezekani hadi ina kamlika umeme haujafika ni aibu kubwa sana na kuna baadhi ya vitu nimeona vimekaa kipagji tu mfano sanduku la maoni wameshindwa kuweka la kisasa na maandishi wameandika ovyo kabisa kama sio ya wasomi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…