Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

HUko kwao teknolojia imekuwa Chief na huwezi kulinganisha na huku..mawazo lukuki yanakuja kwa hawa wa huku
 
Baba ulishawahi kukutana na k iliyotengenezwa?ikoje!inatofauti na og
 
[emoji1787][emoji1787] Umenifurahisha sana, sidhani kama kuna mtu huzaliwa na tumbo la namna hiyo.

Wengine hutokana na uzazi n.k lakini pamoja na yote ukiamua kujikubali wewe jikubali si kila mwanaume anachukia tumbo.
Bora ufurahi Chief hakuna namna..ila ukweli huwa mnatuvurugaga sana..mpunguze kidogo maana utasikia sipendi mwanamke mnene mara sipendi mwanamke mwembamba heee nyie watu mtatuua huku tunatembea jamani
 
Kwahiyo na hii unategemea uzoee sio..safi
Ata wigi kipindi zinaingia wanaume walipinga ila saivi wao ndo wanatoa Hela Za wigi....so hata hii itafika stage mtu akiona dem wake ana 'upungufu' Fulani anatoa Hela anamlipia sajari
 
Hahaha masta bhana..kwamba zaidi ya meno ya bandia hatuna maajabu sio

Aiseh 🥺
Zaidi Ya Hakuna Jipya, Utakuwa Ujanjaujanja Kama Enzi Za Dawa Toka China, T*k* Moja Kubwa Jingiñe Dogo
Kama Fuso Iliyokata Centre Bolt
 
Honestly ningekuwa na 'ela' ningeenda kuifanyia mafekeche hii pua
Itakuwa una pua pana kama la mjumbe wa nyumba kumi kule milepa rukwa.

Yule mjumbe ana pua aisee had tundu za pua zikiwasha anaingiza dole gumba kukuna daah.
 
Nahisi hakuna madhara,,mbona watu wanazidi kwenda
Ushasema unahisi means huna uhakika na hisia zako.

Madhara yapo dear tena makubwa tu hasa ugonjwa wa kansa ndo huanziaga kwa hayo masurgery.

Wingi wa watu usikuaminishe usalama wa wanachoenda kufanya, Huwaga inatokea kwenye kundi la watu 100 muelevu akawa mmoja tu wengine wote vilaza. Usipende kufata mkumbo mpendwa simama na utashi wako binafsi.
 
Inabidi Na ninyi mpunguze kitu sakama na kuvisema vitambi vyetu maana havituwashi


Na ndiko tunakoelekea jamani🥺

Mimi kwa mtazamo wangu wanawake wengi wanajikata miili yao kwa ajili ya kujiongezea market apate mwanamme mwenye mpunga si unajua mwanamme mwenye mpunga huvutika na mabebe wakare!!
 
Sawasawa,ila mbona kama unanishauri tena?!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…