Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

Utulivu na umakini wa kuwaambia mawaziri wanakula sana wale kidogo.
Vichwa vyenu hua mnatumia kama vifaa vya kuhifadhia meno na mate!?!?
 
Naona umekurupuka tu huko utokako na kuja kuandika ujinga wako hapa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu fikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Zombie na msukule kama unadhani utajua kama jimama ni la hovyo? Jinga na shetani na mashetani yako yanayozurura bila tija. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome
 
Mwigulu, Mbalawa, Makamba, Mkwe nk matendo yao yanatia mashaka makubwa.
Sasa hapo umeweka ushahidi upi? Ndio unaweza kujibu na kuwasilisha ushahidi wa aina hiyo mahakamani? Kwanini unashafua majina ya watu bila sababu?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua.

Ngoja niwaambie jambo moja ndugu zangu. Kiongozi asipokuwa makini na mtulivu kiakili anaweza kujikuta amepeleka jeshi vitani mahali palipohitajika kufanya mazungumzo tu na upande mwingine. Anaweza kujikuta ametoa kauli mahali palipohitaji kukaa kimya, kutoa maneno na amri inayoleta mpasuko na kuligawa taifa pamoja na wananchi, lakini pia kudhoofisha umoja wa kitaifa. Anaweza kutoa maneno yaliyotakiwa kubakia kama siri za taifa na usalama wa taifa.

Rais asipokuwa makini na mtulivu anaweza kujikuta anafanya makosa mengi sana kuanzia namna ya kupanga safu ya wasaidizi wake, nani akae wapi na nani akae wapi. Ni sawa na kuwa na wachezaji nyota katika kikosi chako lakini kama hujui ni nani aanze na acheze namba ipi na apangwe na nani unaweza ukajikuta hupati matokeo, kwa kuwa tu wachezaji unaowapanga hawaelewani wakiwa uwanjani, kwa kuwa unawapanga namba zisizo sahihi hivyo kuwanyima uhuru wa kucheza.

Kwa utulivu na umakini wa Rais Samia ndio maana mnaona taifa linaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu hapa nchini, kwa kuwa yeye hata akishambuliwa kwa matusi na lugha za matusi na baadhi ya wanasiasa uchwara, unakuta yeye anaendelea na kazi ya kuwatumikia Watanzania bila kutoka hadharani kujibu kwa hasira na jazba.

Hii ni kwa kuwa Rais wetu mpendwa hutumia akili kubwa na siyo hisia na mihemuko. Hafanyi maamuzi wala kutoa kauli kwa jazba au kukurupuka. Hii ni kwa kuwa anatambua ukubwa wa nafasi yake kama mkuu wa nchi. Huwezi ukamsikia mama yetu kipenzi akiripuka hadharani huku akiwa amejaa jazba, kwa kuwa anatambua kutumia jazba, hasira, mihemuko na hisia pasipo kutumia akili kwa utulivu na umakini inaweza leta picha mbaya pale yatakapotolewa maneno kwenye kinywa chake yatakayomshushia heshima na kudhalilisha mamlaka ya urais na kiti chake.

Taifa letu linawahitaji sana viongozi wengi sana aina ya Rais Samia. Tunahitaji wawe wengi kuanzia ngazi za ukuu wa wilaya, mkoa, mawaziri, ma OCD, RPC, wakurugenzi, maafisa utumishi na wengine wengi. Tunahitaji viongozi wale watoa amri wawe watu makini na wenye utulivu wa akili na moyo. Siyo watu wa kukurupuka, mihemuko, sifa za kitoto, majivuno na ubabe ubabe wa kijinga na ulevi wa madaraka.

Ukiwa na kiongozi asiye na utulivu na umakini halafu akawa na mamlaka mkononi mwake ataonea na kuumiza sana watu, atawatoa wengi machozi na kuwafanya wengine wengi wajute kuzaliwa hapa nchini. Tunahitaji kiongozi ambaye moyo wake umejaa hofu ya Mungu na ni mcha Mungu kama ilivyo kwa Rais Samia.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Yaani chawa unaweza kuzungumza kinyume na hivi?
 
Attachments

  • 20240524_130550.jpg
    20240524_130550.jpg
    14.1 KB · Views: 2

Utulivu maana anatega mabumu ya kulipuka baadae

mabumu ni haya

1. Katiba hili bomu litalupuka huko mbele
2. Bandari hili bomu litalupuka
3. Kuuza KIA hili bomu litalipuka
4. Kuuza carbon credit za misitu kwa kutoa watu kwa waarabu kisiri siri hili bomu litalipuka
5 wanapika sasa mikataba ya mafuta. Mama ataacha mabumu ambayo yatachukuwa miaka zaidi ya 10 ya Raisi ajaye

Kama haya ni utulivu sawa
 
As a member of Mental health department we apologize to all JF members that, The person who usually posts this rubbish Lucas Mwashambwa is one of our patient who escaped from our institution of mental health.

We assure you that we will do whatever it takes to get him back to our institution.
 
Back
Top Bottom