Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

Ninavutiwa Sana na Utulivu na Umakini wa Rais Samia Kiuongozi

Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika k

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Haya bhana!!!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu a kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Mbona namba siku hizi huweki mkuu!?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni mara 1000 umsifie makonda anayehangaika kutwa kucha na matatizo ya watu kuliko vasco da gama ambaye kutwa kucha yupo safarini. Nonsense
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
We endelea kuvutiwatu. Ila sisi wazabuni wa serikali yake tunaoidai malipo ya hela nyingi sana,

Habari za ndani ni kuwa hawana fedha ndo maana kakimbilia Korea kwenda kukopa angalau kulipa madeni kabla ya mwaka wa fedha haujaisha
 
Acha uzushi wako na Ramli chonganishi hapa.serikali yetu ipo imara kiuchumi na ndio maana hakuna shughuli zinazokwama kwa kukosa pesa
 
Ni mara 1000 umsifie makonda anayehangaika kutwa kucha na matatizo ya watu kuliko vasco da gama ambaye kutwa kucha yupo safarini. Nonsense
Uwe na adabu wewe.usifikiri Rais wetu anakwenda nje ya nchi kutalii .
 
Back
Top Bottom