min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mhm Wewe nae 😥Kazi iendelee 💃💃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhm Wewe nae 😥Kazi iendelee 💃💃
😂😂Nimefanya nn jamani 🙈🙈Mhm Wewe nae 😥
😂😂Nimefanya nn jamani 🙈🙈
Ameanza kuharibikaje.Umeanza kuaribika mapema mno.
Hakuna ufisadi wowote ule uliofanyika katika hayo uliyoorozesha kama matokeo ya darasa la saba
🙈🙈😹😹Umeanza kuaribika mapema mno.
Wala hakuna mkuu ,huyu ni mtani wangu tu kikabila😁😁.Ameanza kuharibikaje.
CHAWA HAPA HUPATI KITU KWENDA POTELEA MBALI KABISANdugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua.
Ngoja niwaambie jambo moja ndugu zangu. Kiongozi asipokuwa makini na mtulivu kiakili anaweza kujikuta amepeleka jeshi vitani mahali palipohitajika kufanya mazungumzo tu na upande mwingine. Anaweza kujikuta ametoa kauli mahali palipohitaji kukaa kimya, kutoa maneno na amri inayoleta mpasuko na kuligawa taifa pamoja na wananchi, lakini pia kudhoofisha umoja wa kitaifa. Anaweza kutoa maneno yaliyotakiwa kubakia kama siri za taifa na usalama wa taifa.
Rais asipokuwa makini na mtulivu anaweza kujikuta anafanya makosa mengi sana kuanzia namna ya kupanga safu ya wasaidizi wake, nani akae wapi na nani akae wapi. Ni sawa na kuwa na wachezaji nyota katika kikosi chako lakini kama hujui ni nani aanze na acheze namba ipi na apangwe na nani unaweza ukajikuta hupati matokeo, kwa kuwa tu wachezaji unaowapanga hawaelewani wakiwa uwanjani, kwa kuwa unawapanga namba zisizo sahihi hivyo kuwanyima uhuru wa kucheza.
Kwa utulivu na umakini wa Rais Samia ndio maana mnaona taifa linaendelea kutamalaki kwa amani na utulivu hapa nchini, kwa kuwa yeye hata akishambuliwa kwa matusi na lugha za matusi na baadhi ya wanasiasa uchwara, unakuta yeye anaendelea na kazi ya kuwatumikia Watanzania bila kutoka hadharani kujibu kwa hasira na jazba.
Hii ni kwa kuwa Rais wetu mpendwa hutumia akili kubwa na siyo hisia na mihemuko. Hafanyi maamuzi wala kutoa kauli kwa jazba au kukurupuka. Hii ni kwa kuwa anatambua ukubwa wa nafasi yake kama mkuu wa nchi. Huwezi ukamsikia mama yetu kipenzi akiripuka hadharani huku akiwa amejaa jazba, kwa kuwa anatambua kutumia jazba, hasira, mihemuko na hisia pasipo kutumia akili kwa utulivu na umakini inaweza leta picha mbaya pale yatakapotolewa maneno kwenye kinywa chake yatakayomshushia heshima na kudhalilisha mamlaka ya urais na kiti chake.
Taifa letu linawahitaji sana viongozi wengi sana aina ya Rais Samia. Tunahitaji wawe wengi kuanzia ngazi za ukuu wa wilaya, mkoa, mawaziri, ma OCD, RPC, wakurugenzi, maafisa utumishi na wengine wengi. Tunahitaji viongozi wale watoa amri wawe watu makini na wenye utulivu wa akili na moyo. Siyo watu wa kukurupuka, mihemuko, sifa za kitoto, majivuno na ubabe ubabe wa kijinga na ulevi wa madaraka.
Ukiwa na kiongozi asiye na utulivu na umakini halafu akawa na mamlaka mkononi mwake ataonea na kuumiza sana watu, atawatoa wengi machozi na kuwafanya wengine wengi wajute kuzaliwa hapa nchini. Tunahitaji kiongozi ambaye moyo wake umejaa hofu ya Mungu na ni mcha Mungu kama ilivyo kwa Rais Samia.
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sitafuti kitu chochote kile zaidi ya kuongea ukweliCHAWA HAPA HUPATI KITU KWENDA POTELEA MBALI KABISA
Nakuachia nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu mtanzaniaSiku hizi unasahau kuweka namba ya simu why????
Mimi ni mkulima kwa hiyo nakula kwa jasho langu.Njaa tu...hivi bado hawajakupa chochote huko chamani?
Hii nzuri . Jikite kwenye kulima sasa . Acha Uchawa , kuwa busy na mambo yako ya kilimo . Samia hana umakini wowote.Mimi ni mkulima kwa hiyo nakula kwa jasho langu.
Mimi sio chawa ninaetegea teuzi nina shughuli zangu zinazonipa kipato kikubwa cha kutosha kusomesha watoto Havard mambo yenu ya bongo nimewaachia nyie CHAWANakuachia nafasi ili uweke namba yako ndugu yangu mtanzania
Wananchi wabubujikwa na machozi baada ya kugundua mama ana hofu ya Mungu na kamgusa kila mmoja kwenye sekta ya afya na maji!Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika kufanya maamuzi pamoja na kuchukua hatua.
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Sawa unavutiwa! Tukusaidie nini sasa baada ya huko kuvutiwa kwako?Ndugu zangu Watanzania,
Kiukweli ninavutiwa sana na utulivu na umakini mkubwa sana wa kiuongozi alionao Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha Watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hassan. Ni kiongozi mtulivu na makini sana katika
Lucas Hebel Mwashambwa. Mama anatosha kuendelea kuliongoza taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi sifanyi uchwa bali naongea ukweliHii nzuri . Jikite kwenye kulima sasa . Acha Uchawa , kuwa busy na mambo yako ya kilimo . Samia hana umakini wowote.
Tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais na kujiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima hapo mwakaniSawa unavutiwa! Tukusaidie nini sasa baada ya huko kuvutiwa kwko?